Waziri Makamba: Msitegemee wala kutarajia bwawa la mto Rufiji kujazwa maji mwezi Machi

Suzy fanya research kwanza kabla haujamshambulia Makamba. Wakati mwingine ndio maana viongozi wanaamua kuwa waongo kwasababu wanajua mtaanza kuwashambulia namna hii.
Sishangai sana kukosekana kwa winch ya uwezo huo, hii nchi bado ipo duni kwa mambo mengi.
SGR huenda kuna mawinch kibao lakini yananyanyua vitu gani vyenye uzito huo?
Simtetei lakini naokuona umepost kwa lengo la kushambulia zaidi.
 
Mwezi March/April mwaka huu Kalemani alitwambia ujazaji wa maji kwenye bwawa hilo ungeanza mwezi november mwaka huu, sasa kulikoni?
Watanzania wanawapenda watu kama hao wanaotudanganya halafu baadae wanawagiribu tena.

Huyu aliyedanganya ni mwezi wa tatu akasogeza hadi November ndiye wanampigia debe.
 
[emoji706][emoji706][emoji706]
 
We kituko achana na mimi tafadhari tena Komaaa mwana usiye na haya!

Jana ume zima hovyo!

Nimekwambia wenye vyeti fake hawarejeshwi ofisini endelea kupambana na hali yako simbilizi!
Mimi siyo kituko, niko humu kama JF Expert member tangu 2012. Respect your elders young creature
 
Mbona unaweweseka sana mkuu ndio weye makatani? Angalia mantiki ya maada siyo kumjadili mtu aliyeleta maada mfyuuu! Makatani ni jipuu lililoivaga tangu enzi na enzi!
Nimefikiria nje ya box tu. Kuwa kwa nini mtu ame create Akaunti Leo na kujikita na posts zenye mwelekeo mmoja. Niko objective tu
 
Wewe huna lolote ni mnafiki tu. Huna msimamo yani tumekudharau sana siku hizi. Tulidhanmpambanaji. Yani wee jamaaa tukutane uso kwa uso nawe, a kukuzaba mfululizo wa makofi.

brazaj
Siishi kwa kukariri kama wewe. Ninatumia akili. Nikikutana na wewe ana kwa ana nitakusomesha mpaka uelewe. Vijana acheni wivu, mtakufa kwa vijiba vya roho
 
Raisi samia,
Fungulia Mbowe,tumbua Waziri makamba,wape nafasi distinctive akina Kalemani, Bashiru na pole pole, dhibit mfumko wa Bei ya chakula na Ruhusu vyama vya siasa na ahidi kwa dhati mchakato wa katiba mpya utaanza mwaka 2029.

Halafu tulia uone jinsi utakavyo ongoza kwa amani na furaha.
 
Waende kukodi winchi za SGR au za Bakhresa

Hivi bandari yetu ya Dar haina winchi za kunyanyua huo uzito? Wazipeleke huko pia Kuna kampuni moja ya kimarekani ambayo hu deal na mizigo mizito kupindukia iko kurasini Dar es salaam waende pale hayo ma crane wanayo ya kunyanyua hizo tani
 
Wewe ndie takataka mmoja usie na maana hapa kabisa, yale mapropaganda yako ya hovyo kuhusu Mbowe yameishia wapi? umeshapeleka ule "ushahidi" mahakamani?

Kwani nani anamzuia mleta mada kumjadili Makamba? ungekuwa na akili timamu ungejiuliza kama hayo maneno ni kweli ameyatamka Makamba au hapana.

Kama kweli ameyatamka upeleke upuuzi wako kwa huyo bwana wako anaekutumia kumsafisha huku kwa tabia zake za hovyo za 10%
 
Tanzania kuna winchi yenye uwezo wa kubeba hadi tani mia
 
Anachofanya Makamba hapa ni kutudanganya anatuona wajinga ili aanzishe huo mradi wao wa wizi wa LNG wa $30 milioni watupige kama kawaida yao, haya majitu yana laana wanataka kuukwamisha huo mradi kijanja na pesa iliyotumika iwe imepotea bure.
 
Mimi siyo kituko, niko humu kama JF Expert member tangu 2012. Respect your elders young creature
Hii akili yenu ya kipumbavu eti kuwa jf toka karne iliyopita ndio huwezi kuandika pumba sijui mmeitoa wapi na wajinga wenzako, elder anaheshimiwa kwa mawazo yake, sio kwa umri wake, kuwa elder mwenye akili ya kitoto ni upuuzi tu kama ulivyo upuuzi mwingine.
 
Sioni unachotetea wewe hapa.
Waziri hakuyasema hayo maneno bungeni, sasa unataka nani afanye "research", wewe au mleta mada aliyesikia hayo maneno?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…