Katumwa huyoWana JF,
Najuwa JUKWAA la JF ni mahala pa Watanzania wote kujieleza maoni yao bila woga. Ila unapoona member mpya ameingia siku 2 zikizopita na ameshupalia mada za aina Moja tambua kuwa ana matatizo.
Naomba muendelee ku-monitor mada za Suzy Elias zimejikita kwenye umeme na January Makamba. Ni angalizo tu
Mkuu, wanaolalamika ni sukuma gang, wewe inabidi uwe upande wa January makamba by all means!Kuna mawinch daily yananyanyua vitu vya tani mia na usher[emoji28]
Ina maana huyo February ana connection na mswahili?Vasco da gama wa msoga ndiye mpanga mipango yote hiyo.
Hamna kitu pale sema sasa ndiyo wakati wao wanahitaji ile 50/50 na wameshika mpiniYule nae ni mzigo tuu
Hata akimshambulia wacha tu maana hakuna anacho tusaidia sisi wananchi na pia Makamba ana majibu ya dharau sanaSuzy fanya research kwanza kabla haujamshambulia Makamba. Wakati mwingine ndio maana viongozi wanaamua kuwa waongo kwasababu wanajua mtaanza kuwashambulia namna hii.
Sishangai sana kukosekana kwa winch ya uwezo huo, hii nchi bado ipo duni kwa mambo mengi.
SGR huenda kuna mawinch kibao lakini yananyanyua vitu gani vyenye uzito huo?
Simtetei lakini naokuona umepost kwa lengo la kushambulia zaidi.
Yeye ndiye ameshika mpini kwahiyo kila kitu anajiona yeye ndiye anakijuaSamia ashtuke mapema.
Yaani na kashfa zote zile Bado amemteua kuwa waziri.
Huyu mama anaongozwa.
Naona umejitokeza kuntetea huyo Makamba wako na kwa taarifa yako Makamba hatumkubali hata kwa vibokoWatanzania wanawapenda watu kama hao wanaotudanganya halafu baadae wanawagiribu tena.
Huyu aliyedanganya ni mwezi wa tatu akasogeza hadi November ndiye wanampigia debe.
Upo sahihi sana na wengi tulikuwa hatujaligunduaNimefikiria nje ya box tu. Kuwa kwa nini mtu ame create Akaunti Leo na kujikita na posts zenye mwelekeo mmoja. Niko objective tu
Aisee kwa Waziri huyo tumepigwa!
Leo bungeni amedai Tanzania nzima eti hakuna winchi lenye uwezo wa kubeba milango yenye uzito wa tani 26 ili kuziba milango iliyokuwa inachepusha maji ili ujenzi wa bwawa uendelee.
Kadai winchi hilo hadi litoke nje ya Nchi [emoji23].
Hivi huyo jamaa anatuona hamnazo eti?!
Mawinchi mamia yaliyojaa Tanzania hii ambayo hata Waturuki wa SGR wanayo kibao ajabu leo tunadanganywa eti Nchi nzima hayapo?!
Wenye akili woye walipin ga mradi huu, baadaye nyie wenyewe mka Kiri kuwa ,hata Mkandarqsi hana uwezo!Kuna mchezo unachezwa na January, awe makini, sbb Hili Bwawa la Nyerere naona kama vile analipinga kiaina.
Winchi la kimataifaKwa hiyo winchi la Nchi za nje siyo?
Hivi pale bandarini makontena ya tani 40 huwa yanashushwa na nini? Eti nchini kwetu hakuna winch ya kubeba tani 26?CSC Tz hata Caspian wana Whinch za tani 30+
hilo ndio swali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi pale bandarini makontena ya tani 40 huwa yanashushwa na nini? Eti nchini kwetu hakuna winch ya kubeba tani 26?
Aliyepinga alikuwa mshamba wa maendeleoWenye akili woye walipin ga mradi huu, baadaye nyie wenyewe mka Kiri kuwa ,hata Mkandarqsi hana uwezo!
Ila haina winchi 🤣🤣🤣🤣Waziri Mulamula: Arab Contactors ni kampuni kubwa sana inayoheshimika!
Tena 15/11/2021Mwezi March/April mwaka huu Kalemani alitwambia ujazaji wa maji kwenye bwawa hilo ungeanza mwezi november mwaka huu, sasa kulikoni?
Kama alisemea Bungeni! walishindwa kumuuliza hili swali la maana Sana.Hivi pale bandarini makontena ya tani 40 huwa yanashushwa na nini? Eti nchini kwetu hakuna winch ya kubeba tani 26?
Alyejiunga humu 2011 tumuitaje ewe kilaza?!Mimi siyo kituko, niko humu kama JF Expert member tangu 2012. Respect your elders young creature