Waziri Makamba: Msitegemee wala kutarajia bwawa la mto Rufiji kujazwa maji mwezi Machi

Waziri Makamba: Msitegemee wala kutarajia bwawa la mto Rufiji kujazwa maji mwezi Machi

Wana JF,
Najuwa JUKWAA la JF ni mahala pa Watanzania wote kujieleza maoni yao bila woga. Ila unapoona member mpya ameingia siku 2 zikizopita na ameshupalia mada za aina Moja tambua kuwa ana matatizo.

Naomba muendelee ku-monitor mada za Suzy Elias zimejikita kwenye umeme na January Makamba. Ni angalizo tu
Katumwa huyo
 
Suzy fanya research kwanza kabla haujamshambulia Makamba. Wakati mwingine ndio maana viongozi wanaamua kuwa waongo kwasababu wanajua mtaanza kuwashambulia namna hii.
Sishangai sana kukosekana kwa winch ya uwezo huo, hii nchi bado ipo duni kwa mambo mengi.
SGR huenda kuna mawinch kibao lakini yananyanyua vitu gani vyenye uzito huo?
Simtetei lakini naokuona umepost kwa lengo la kushambulia zaidi.
Hata akimshambulia wacha tu maana hakuna anacho tusaidia sisi wananchi na pia Makamba ana majibu ya dharau sana
 
Aisee kwa Waziri huyo tumepigwa!

Leo bungeni amedai Tanzania nzima eti hakuna winchi lenye uwezo wa kubeba milango yenye uzito wa tani 26 ili kuziba milango iliyokuwa inachepusha maji ili ujenzi wa bwawa uendelee.

Kadai winchi hilo hadi litoke nje ya Nchi [emoji23].

Hivi huyo jamaa anatuona hamnazo eti?!

Mawinchi mamia yaliyojaa Tanzania hii ambayo hata Waturuki wa SGR wanayo kibao ajabu leo tunadanganywa eti Nchi nzima hayapo?!

Mawaziri wa Mwendazake walikuwa wanawadanganya mkazoe kupewa matuamini fake. Huo ndio ukweli
 
Mimi siyo kituko, niko humu kama JF Expert member tangu 2012. Respect your elders young creature
Alyejiunga humu 2011 tumuitaje ewe kilaza?!

Mbona unaishi kwa kukariri kwamba unapoona new member humu ndiyo unamhukumu kwalo?

Mangula alikuwa boss CCM na alipumzika kwa muda je unahabari na sasa ni boss CCM?

Jiongeze ewe klza na si kila mgeni unapomuona ktk kijiji ulichohamia ni mgeni wengine ni wenyeji kuliko wewe pengine walilowea mjini ndiyo maana hukuwakuta ulipohamia kwenye kijiji hicho...bldfckn!
 
Back
Top Bottom