Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
-
- #21
Viongozi kwa kweli wasitafute tu 10% na matakwa ya wafanya biashara wakubwa wa mafuta.Ikifufuliwa ...nitafute mkuu ... Mwaka wowote ...nitafute .... Imetoka hivyo Mzee ....
Mkuu Jidu La Mabambasi kwanza naunga mkono Tanzania kuwa na a big oil refinery, eneo ilipokuwepo Tipper but not necessarily Tipper ndio ifufuliwe, zile mashine za Tipper kwa sasa ni obsolete, zifunguliwe zipelekwe kwenye chuma chakavu.Nimeona luninga Waziri Makamba akitamba kuwa Tanzania itafanywa kuwa kituo kikubwa cha usambazaji mafuta.
Mimi nikifikiri serikali itafufua kiwanda cha refinery cha TIPER, kumbe sivyo.
TIPER, Tanzania Italian Petroleum Refinery, ilianzishwa na Mwalimu Nyerere kama strategic plant around 1965.
Serikali ya Awamu ya pili chini ya Rais Mwinyi ilifanya KOSA KUBWA kuua kiwanda cha TIPER.
Katika kiwanda hiki nchi ililuwa ikiagiza tu crude oil, a one off operation.
Katika crude oil baada ya ku refine na kudistill hiyo crude oil, utapata mafuta aina zote hadi lami na mafuta ya vaseline.
J Makamba, be strategic.
Nakubaliana kabisa na hili wazo.Mkuu Jidu La Mabambasi kwanza naunga mkono Tanzania kuwa na a big oil refinery, eneo ilipokuwepo Tipper but not necessarily Tipper ndio ifufuliwe, zile mashine za Tipper kwa sasa ni obsolete, zifunguliwe zipelekwe kwenye chuma chakavu.
January Makamba ni very strategic, msikilize hapa akizungumzia hilo
Kwa vile baadhi ya nchi majirani zetu, zinaagiza mafuta nje ya nchi kupitia Dar Port, J. Makamba is very strategic and very right, tukijenga huge oil storage tanks, sisi ndio tukafanya bulk procurement, hizo nchi badala ya kuagiza mafuta kutoka huko, wataagiza kutoka kwetu, hivyo Tanzania kuwa an oil hub.
Kama ni kujenga refinery, tuijenge Chongoleani, Tanga, tununue mafuta ya Uganda, tuachane na kuagiza mafuta ya Waarabu.
Kumhusu January Makamba, karibu pande hizi
January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!
Wanabodi, Leo nimepata fursa ya kuangalia Top Ten ya Most Interactive Politicians in Social Media. Mhe. January Makamba ndio amekwaa No. 1!. Hii ni kwa mujibu wa makala ya Top Ten iliyotangazwa na Clouds TV. Wengine na positions zao ni kama ifuatavyo... 1. January Makamba 2. Zitto Zuberi...www.jamiiforums.com January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President
Watch Clouds 360 Degrees Live , January Makamba yuko Live. January Makamba, akiongea, anaonekana yuko very intelligent upstairs kwa sababu anaonyesha ana think kabla ya kuongea. Kuna baadhi ya viongozi wetu, I doubts kama wana think kabla hawajaongea ndio maana kiwango cha upayukaji kwa awamu...www.jamiiforums.com
P
Mbona mnamwandama Januari Makamba? Hili siyo la Makamba as a person, na kama waziri tuNi kweli usemalo lakini Makamba huo uwezo hana ,.Tanzania wenye uwezo wa kuleta mabadiliko chanya wapo wengi sana lakini nafasi hawana pia kumbuka viongozi wengi wakisiasa hawapo kwa ajili ya kuifadisha Nchi zaidi ya 10%
Mimi simnyooshei kidole J Makamba, namkumbusha tu kutazama the bigger strategic picture.Mbona mnamwandama Januari Makamba? Hili siyo la Makamba as a person, na kama waziri tu
Haya ni maswala ya KISERA na KIMIPANGO. Nani ana - own sera na mipango ya nchi hii?
Ni CCM ndiyo wanaongoza serikali. Makamba ha - own sera. Makamba ni element ndogo tu. Makamba ni waziri tu anayesimamia kilicho tayari kwenye mipango na sera zao. Hawezi kuja na lake.
Wenye sera za nchi hii ziwe mbaya au nzuri ni CCM kwa ujumla wao. Hawa kwa ujumla wao ndio wako responsible na kila kitu kitokeacho ktk nchi hii
Labda umwambie Rais. Labda umlaumu Rais. Maana kwa katiba yetu hii ya 1977, Rais ni mfalme. Uamuzi wake mmoja tu uko juu ya sera na katiba. Huyo ndiye the right person kum - attack.
KUMBUKA: Kwa mujibu wa katiba ya JMT ya 1977, Rais halazimiki kufuata ushauri wa mtu yeyote hata wa Makamba!!
So, it's a big mistake to point fingers to Mr Makamba and blame him!
Jidu La Mabambasi
Huyu makamba wengi hawataki kumuelewa na kama wanamuelewa ni kama wanamuacha aendelee kuvuna shamba la bibi tozo.Nimeona luninga Waziri Makamba akitamba kuwa Tanzania itafanywa kuwa kituo kikubwa cha usambazaji mafuta.
Mimi nikifikiri serikali itafufua kiwanda cha refinery cha TIPER, kumbe sivyo.
TIPER, Tanzania Italian Petroleum Refinery, ilianzishwa na Mwalimu Nyerere kama strategic plant around 1965.
Serikali ya Awamu ya pili chini ya Rais Mwinyi ilifanya KOSA KUBWA kuua kiwanda cha TIPER.
Katika kiwanda hiki nchi ililuwa ikiagiza tu crude oil, a one off operation.
Katika crude oil baada ya ku refine na kudistill hiyo crude oil, utapata mafuta aina zote hadi lami na mafuta ya vaseline.
Kilichotokea wakati wa Mwinyi kwa hakika ni cha kulaumiwa maana haieleweki kwanini tuagize finished product badala ya kuagiza malighafi ambayo itatoa mafuta aina zote na bidhaa nyingi za ziada.
Lami iliyokuwa inapatikana kama by product sasa hivi wanafaidishwa wafanyabiashara wakubwa kwa gharama za usafiri.
J Makamba, be strategic.
Kwa kweli tunashukuru Mwinyi kwa kufungua milango ya uchumi.Wakati wa mzee Mwinyi ndipo upigaji mkubwa ulianza ambao JK alikuja kuubariki na kuufanya ndio njia hasa ya kuongoza nchi, January ni kijana wa JK hana uwezo wa kufikiri kizalendo zaidi ya upigaji.
Nchi hii kuendelea kutegemea akili za viongozi wa CCM kwa sasa ni kujichimbia kaburi..
Mwl Nyerere aliwahi kuwaambia kina Mwinyi kuwa mambo ya maana nikiyoyafanya mmeyaua mnaendeleza yale niliyoyafanya hovyo. Mzee Mwinyi hadi leo anaendelea kujimilikisha mali zilizokuwa za umma nchi hii....huyu ndie muasisi wa ufisadi mkubwa nchini!
Hajasema, ila ni kuunga mkono hoja yako, kwenye baadhi ya mipango yetu ya maendeleo, we are not strategic, tunakimbilia kununua midege mikubwa kwa cash, bila business, midege imefika sasa ndio tunatengeneza business plan!.Nakubaliana kabisa na hili wazo.
Sema hatupati feedback in time, na katika hiyo clip hajaeleza matarajio ya nchi kujenga refinery kwa mafuta ghafi toka Uganda!
Asante sana Paschal kwa hoja nzuri sana.Hajasema, ila ni kuunga mkono hoja yako, kwenye baadhi ya mipango yetu ya maendeleo, we are not strategic, tunakimbilia kununua midege mikubwa kwa cash, bila business, midege imefika sasa ndio tunatengeneza business plan!.
Tunakimbilia kujenga SGR, huku hatuna port ya kuifeed SGR ika operate kwa faida !. Sasa tuna bomba la mafuta la Uganda, ni ajabu sana kama mafuta ya Uganda, yatapita kwetu, halafu sisi tukaendelea kufuata mafuta Arabuni!.
Hili nimelizungumza.
na asante kuchangia.Tanzania bado tuna tatizo la upangaji vipaumbele vyetu, baada ya Elimu, Afya na kilimo, ilipaswa ije nishati!. Ni aibu na hatari kupikia kuni na mkaa!
Hiyo gas unayoiona kwenye mitungi ya kupikia ni imported 100% , Watanzania tunadanganywa sana kuna watu wanaamini kabisa akienda kununua gesi kwenye mtungi ni Gesi ya Kusini Tanzania, siyo kweli tuna import hivyo haya mambo ya uchumi wa gesi wa akina Makamba ni uongo na wizi kwani hiyo gesi siyo...www.jamiiforums.com
P
Hujuu unachoongea, TIPER iliuzwa zamani sana na serikali Ina shares kidogo na majority ni TOTAL Sasa hapo unahitaji kuelewa nani anasababisha TIPER isifanye kazi kwa ufasaha.Nimeona luninga Waziri Makamba akitamba kuwa Tanzania itafanywa kuwa kituo kikubwa cha usambazaji mafuta.
Mimi nikifikiri serikali itafufua kiwanda cha refinery cha TIPER, kumbe sivyo.
TIPER, Tanzania Italian Petroleum Refinery, ilianzishwa na Mwalimu Nyerere kama strategic plant around 1965.
Serikali ya Awamu ya pili chini ya Rais Mwinyi ilifanya KOSA KUBWA kuua kiwanda cha TIPER.
Katika kiwanda hiki nchi ililuwa ikiagiza tu crude oil, a one off operation.
Katika crude oil baada ya ku refine na kudistill hiyo crude oil, utapata mafuta aina zote hadi lami na mafuta ya vaseline.
Kilichotokea wakati wa Mwinyi kwa hakika ni cha kulaumiwa maana haieleweki kwanini tuagize finished product badala ya kuagiza malighafi ambayo itatoa mafuta aina zote na bidhaa nyingi za ziada.
Lami iliyokuwa inapatikana kama by product sasa hivi wanafaidishwa wafanyabiashara wakubwa kwa gharama za usafiri.
J Makamba, be strategic.
Mku wewe una akili za kukariri lakini thinking capacity ni very low.Hujuu unachoongea, TIPER iliuzwa zamani sana na serikali Ina shares kidogo na majority ni TOTAL Sasa hapo unahitaji kuelewa nani anasababisha TIPER isifanye kazi kwa ufasaha.
In short shares za serikali zilikuwa zinahang tu wajanja wamekula sana pale ndipo ikaundwa kikosi kazi ambapo shares za serikali kwa sasa zinasimamiwa na TPA.
So labda Kama TOTAL wataona inafaa watapiga kura yao kununua hayo mafuta na kuyaweka tu yakisubiri wakati yatakapokosekana ndio wauze.
Kwa mchanganuo upi?Kila zama na nyakati zake. Hii ya kusafirisha mafuta ghafi ni expensive kuliko sasa hivi.
Ukinunua hayo mafuta upeleke kwenye refineries, utengeneze mifumo nk ni gharama kubwa mno kwa sasa na isiyo na tija.
Pamoja umenitukana nadhani ni sababu ya hayo uliyoyasema dhidi yangu kumbe ni wewe ndio unajisema .Mku wewe una akili za kukariri lakini thinking capacity ni very low.
Elewa kwanza maudhui ya mada na urudi na mawazo endelevu.
Ni ufinyu wa mawazo kutegemea TOTAL, mfanya biashara ya mafuta akujengee refinery, atakula wapi?
Alikuwa na upeo mdogo mnoKwa kweli tunashukuru Mwinyi kwa kufungua milango ya uchumi.
Lakini hakuwa na uwezo wa kuona mbali, tunashukuru vile vile bado yupo hai kuona matokeo ya madudu aliyofanya.
Viongozi wengine wajifunze katika hili.
Nimeona luninga Waziri Makamba akitamba kuwa Tanzania itafanywa kuwa kituo kikubwa cha usambazaji mafuta.
Mimi nikifikiri serikali itafufua kiwanda cha refinery cha TIPER, kumbe sivyo.
TIPER, Tanzania Italian Petroleum Refinery, ilianzishwa na Mwalimu Nyerere kama strategic plant around 1965.
Serikali ya Awamu ya pili chini ya Rais Mwinyi ilifanya KOSA KUBWA kuua kiwanda cha TIPER.
Katika kiwanda hiki nchi ililuwa ikiagiza tu crude oil, a one off operation.
Katika crude oil baada ya ku refine na kudistill hiyo crude oil, utapata mafuta aina zote hadi lami na mafuta ya vaseline.
Kilichotokea wakati wa Mwinyi kwa hakika ni cha kulaumiwa maana haieleweki kwanini tuagize finished product badala ya kuagiza malighafi ambayo itatoa mafuta aina zote na bidhaa nyingi za ziada.
Lami iliyokuwa inapatikana kama by product sasa hivi wanafaidishwa wafanyabiashara wakubwa kwa gharama za usafiri.
J Makamba, be strategic.
Umeongea bonge la point.Nimeona luninga Waziri Makamba akitamba kuwa Tanzania itafanywa kuwa kituo kikubwa cha usambazaji mafuta.
Mimi nikifikiri serikali itafufua kiwanda cha refinery cha TIPER, kumbe sivyo.
TIPER, Tanzania Italian Petroleum Refinery, ilianzishwa na Mwalimu Nyerere kama strategic plant around 1965.
Serikali ya Awamu ya pili chini ya Rais Mwinyi ilifanya KOSA KUBWA kuua kiwanda cha TIPER.
Katika kiwanda hiki nchi ililuwa ikiagiza tu crude oil, a one off operation.
Katika crude oil baada ya ku refine na kudistill hiyo crude oil, utapata mafuta aina zote hadi lami na mafuta ya vaseline.
Kilichotokea wakati wa Mwinyi kwa hakika ni cha kulaumiwa maana haieleweki kwanini tuagize finished product badala ya kuagiza malighafi ambayo itatoa mafuta aina zote na bidhaa nyingi za ziada.
Lami iliyokuwa inapatikana kama by product sasa hivi wanafaidishwa wafanyabiashara wakubwa kwa gharama za usafiri.
J Makamba, be strategic.
I agree with youMimi simnyooshei kidole J Makamba, namkumbusha tu kutazama the bigger strategic picture.
Siyo petty retail fuel/oil trade.
Inaelekea hamjui kuwa Waziri ni mdau mkubwa sana kuwezesha sera endelevu na zinazoweza kuipaisha nchi.
Hapa ni uthubutu wa ushawishi, na inawezekana.
Turudie kujenga kiwanda kikubwa cha refinery, kitu ambacho hata Baba wa Taifa alikiona karibia 60yrs ago, kwa nini viongozi wa leo hawalioni hilo?