Waziri Makamba, nakushauri kuwa 'strategic thinker' suala la mafuta. Fufueni TIPER

wanao miliki makampuni makubwa yanayo import mafuta hawawezi kukubali hili jambo kutokea, watafanya kila wanalo weza kuikwamisha TIPER kufufuka!

tena ukizingatia awamuu hii ni imekamatwa na mafisadi jambo hili linakuwa gumu kidogo kutekelezeka!
 
Nyuzi kama hizi ndio unaona faida ya kuwepo Jamii forums watu wanabishana kwa hoja na facts, inakuwa rahisi hata kufanya follow up binafsi na ku-verify taarifa inayosemwa, safi sana.
 
wanao miliki makampuni makubwa yanayo import mafuta hawawezi kukubali hili jambo kutokea, watafanya kila wanalo weza kuikwamisha TIPER kufufuka!
Marehemu pamoja na ubabe wake lakini hajawahi kuongelea issue za TIPER hata siku moja aliogopa matajiri
 
Nahisi Paskali yupo PR Team ya Makamba, but it doesnt wash!
 
Tatizo hujui
 
...
Kuna wengi wanadhani wanamfahamu January, lakini sii kweli, wengi wanamfahamu January kijuu juu tu, kwa kuwasaidia kumfahamu vizuri January, karibu mitaa hii
P
Pakali, huwa si hulka yangu kumwongelea mtu. Lakini kwa January, naomba kutofautiana na wewe kwamba wengi wanamfahamu kijuu juu tu.

Hayati Magufuli alifanya siasa ya vitendo tofauti na wanasiasa wengi, ndani na nje ya nchi. Kwa sababu hiyo wanasiasa ambao bado wanafanya siasa za majukwaani, sasa wamehamia kwenye mitandao ya kijamii, wengi uliosema, wanamhukumu January katika jinsi hiyo (Nawe umedai unamjua kama "most interactive politician").

Hata Shirika lenyewe sasa linaendeshwa kisiasa. TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

Kwa mantiki hiyo January amekuwa Serikalini kama Waziri katika Vipindi vya Awamu zilizopita lakini hakuacha alama yoyote yenye maslahi mapana ya kitaifa. Mifano iko mingi alipokuwa Mazingira, chini ya Makamu wa Rais, na sasa Nishati.
 
acha uoga mitambo bado ipo pale kigamboni ni kuiboresha tu nakumbuka miaka iyo mafuta lita nilikua nanunua sh 500
 
Sii kweli, japo ni kweli kuna baadhi ya majizi na majangili ni wana CCM wenzetu, lakini CCM kama chama, ni chama Safi, kina wanachama Safi, watu wema, watu wazuri na wazalendo wa kweli wa Nchi hii, nikiwemo Mzalendo Mimi.
P
Ni kweli mkuu.

Sisi wengine hawajui kuwa ni CCM kada na mwanachama muasisi 5th Feb 1977.
 
Sii kweli, japo ni kweli kuna baadhi ya majizi na majangili ni wana CCM wenzetu, lakini CCM kama chama, ni chama Safi, kina wanachama Safi, watu wema, watu wazuri na wazalendo wa kweli wa Nchi hii, nikiwemo Mzalendo Mimi.
P
Huu umasikini umeletwa na akina nani kama siyo CCM? miaka 61 ya uhuru hakuna kinachofanyika zaidi ya usanii tupu
 
Ni kweli lakini kulikuwa na mismanagement ya hali ya juu hasa baada ya vita ya Kagera.

Kabla ya vita, miaka ya 60 mambo yalikuwa mazuri tu.
Ujamaa wa Nyerere ulianza kufeli tangu ulivyoanza rasmi na Azimio la Arusha mwaka 1967. Vita ya Kagera inatumika kama kisingizio tuu lakini Ujamaa uliharibu uchumi kabla ya hiyo vita.
 
Kako LIVE UTV nw
 
Ujamaa wa Nyerere ulianza kufeli tangu ulivyoanza rasmi na Azimio la Arusha mwaka 1967. Vita ya Kagera inatumika kama kisingizio tuu lakini Ujamaa uliharibu uchumi kabla ya hiyo vita.
We pimbi soma historia yako vizuri.
Ujamaa ulikuja na Azimio la Arusha.
Na hata Vita ya Kagera hujui ilianza vipii.
SOMA!
 
Serikali inafanyia Kazi hilo,ishu kubwa ni storage facilities,na facilities za kuwezesha kushusha.

Kwa mujibu wa Makamba JR ,the goveyis working on it.
 
We pimbi soma historia yako vizuri.
Ujamaa ulikuja na Azimio la Arusha.
Na hata Vita ya Kagera hujui ilianza vipii.
SOMA!
Historia nimeisoma vizuri tuu, sema wewe kichwa chako kimejaa mawe unashindwa kuelewa unachokisoma. Reading comprehension yako iko chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…