Waziri Makamba: Ninatukanwa sana lakini nitalipa kisasi kwa matokeo

Simfahamu huyo "kalema". Sisi kijijini kwetu tumepata umeme wa tanesco mwaka huu.

Ahsante mama, ahsante January.
Migodi inapelekewa umeme wa gridi, Kigoma imewashwa, ma transmission line kibao yanajengwa. Nikonnect unapata umeme in one day, hamna vishoka, kuna mambo makubwa kibao yanafanyika, watu wamekaza tu umeme umeme. 😁😁
 
Tuondoleeni kwanza mita zenu za mchongo zinazo tulaza giza kila siku usiku.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Masikini tz!

Yani simu ya watu wa dharura wanakuja baada ya saa moja na nusu kupita alafu unajisifia?

Kama nyumba ilikuwa inataka kuungua huoni kama wangekuta majivu?
 
Wewe udini utakua ni bibi mzima lakini huna akili, tetea maslahi ya nchi, 2025 utaona hatutaki waislamu tena
Kumbe tatizo lako ni Uislam?

Inabidi uustahimilie tu, ndiyo unao Tanzania hii na unazidi kushamiri.

Uislam ni mwema sana, usiuogope.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Masikini tz!

Yani simu ya watu wa dharura wanakuja baada ya saa moja na nusu kupita alafu unajisifia?

Kama nyumba ilikuwa inataka kuungua huoni kama wangekuta majivu?
Sikuwapigia kwa tatizo la nyumba kutaka kuunguwa, nimewapigia kwa tatizo la kukosa umeme.


Siku nyingine ukiona nyumba inataka kuunguwa, kwanza anza kwa kuwapigia fire, halafu ndiyo wengine.

Upo hapo ulipo?
 
Sikuwapigia kwa tatizo ka nyumba kutaka kuunguwa, nimewapigia kwa tatizo la kukosa umeme.


Siku nyingine ukiona nyumba inataka kuunguwa, kwanza anza kwa kuwapigia fire, halafu ndiyo wengine.

Upo hapo ulipo?
Sasa huoni kama hapo tayari kuna shida?

Vipi hilo tatizo la kukosa umeme kwako lingesababisha shoti na kuunguza nyumba sababu ya watu wa dharura wamekuja kwa kuchelewa?

Watu wa dharura inatakiwa wafike chini ya dk 15 nje na hapo ni uharo tu.

Upo hapo ulipo?
 
Dakika 15 eeh, atafikia huko, tumuongezee bajeti.
 
Ni kuwapuuza tuu uzuri Historia itaandikwa mikononi mwake..

Atasema nilisimamia bwawa la Nyerere
Nilisimamia mapinduzi ya Nishati Tanzania
Nilisimamia ndoto ya Tanzania kuwa na mradi mkubwa kabisa wa LNG Africa

Hii tuu ni credit kubwa kabisa kwake na historia itamuandika hivyo..

Cha Kuombea ni Rais Samia asikubadilishe Wizara hata baada ya 2025 Ili uandike historia vizuri na kuondoa ule ukakasi wa Mawaziri wa Nishati kutodumu..
 
Sawa nitamsaidia kugawa mitungi ya gesi kwa madiwani ili wamsifu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…