Waziri wa michongo huyuMwambie asihangaike na hiyo gesi kwanza pesa ya kuchimba wanayo? au ndio wanasubiri "mikopo nafuu"?
Atuambie ile winchi ya tani 26 aliyoagiza kwa ajili ya Nyerere Dam toka nje iko wapi?
Hatari sana, kazi ya kutoa nchi hii kwenye umaskini haina tofauti na kazi ya SisyphusHiyo KIDUCHU yenyewe tushaiuza na hela hatujui imeenda wapi
😂😂😂 Mambo ni magumi sana! Watu wamehodhi vyeo na kujifanya wao ndiyo think tank yetu! Makamba anaona tatizo gani kushirikisha watu wengine katika suala hili nyeti kwa ustawi wa nchi yetu?Eee Mungu ee.Mungu ee jibu gani yaani mimi CCM nimechoka. Chadema nipeni pole na vyama vyote vya upinzani nipeni pole nisije kufa kwa Pressure huyu Waziri Makamba Mama Samia uwe serious kwa mambo mazito huyo mtoe
Mama Samia kaongea vizuri mno kuwa pale ambapo Serikali haiwezi sekta binafsi ataipa nafasi wafanye
Mama Samia umemsikia Waziri wako huyo wewe ndie ulimpa uWaziri
Kote unavyoenda nje umekosa watu wa kushirikirikiana na Serikali kwa mfumo wa PPT?
Huyu Waziri wako mhujumu uchumi toa tupilia mbali fursa imefunguka anaongea ujinga matajiri kibao wa nje waweza kuja hata Kesho wakawekeza uwekezaji aa uhakika wana mipesa na teknolojia
E Mungu nini hiki kaongea Makamba
Ndiyo mamlaka ya nishati huyo, sasa ahojiwe nani?Mnamuhojihoji wa nini huyo!??
Sina takwimu, lakini katika nchi zenye akiba kubwa ya gesi hatumo kabisa.Yaani almost 50 Trillion Cubic Feet ambazo hazijaguswa ndo gesi kiduchu?
Na hao Rwanda wana gesi kiasi gani iliyogunduliwa hadi sasa?!
Bora mhoji hata mbuzi..Ndiyo mamlaka ya nishati huyo, sasa ahojiwe nani?
Unaita jambo jema yani baada ya miaka Sita WTF?! Vipi kuhusu lile shamba lenu la miti wewe na profesa mgaya Iringa.Ni jambo jema!
Kwani wenye gesi huko kusini akina Mmawia wanasemaje?
Naona ama unaongea kwa ushabiki au huna taarifa sahihi. Hebu tafakari yafuatayo:-Kote unavyoenda nje umekosa watu wa kushirikirikiana na Serikali kwa mfumo wa PPT?
Huyu Waziri wako mhujumu uchumi toa tupilia mbali fursa imefunguka anaongea ujinga matajiri kibao wa nje waweza kuja hata Kesho wakawekeza uwekezaji aa uhakika wana mipesa na teknolojia
E Mungu nini hiki kaongea Makamba
Hujaelewa hata kitu kimoja nimeongea Very sadNaona ama unaongea kwa ushabiki au huna taarifa sahihi. Hebu tafakari yafuatayo:-
1. LNG Processing Plant peke yake itagharimu almost USD 30 Billion!!
Hivi una habari Market Capitalization ya Biashara zote kubwa Bongo zinaweza zisifike hata 50% ya hiyo USD 30 Billion?!
Nani anaweza kukukopesha almost Sh 70 Trillion kwa ajili ya ujenzi wa Plant ya kuchakata gesi TU?!
2. Kwavile hatuna skills wala technology labda tunaweza kufanya management contract with high skilled and expertize!!
Data zilizopo zinaonesha kiasi kikubwa cha gesi kipo deep sea (more than 2 km from the shore) huku zikiwa kwenye kina kirefu (again almost 1 km from sea surface)
Again, kama LNG Processing Plant tu inachukua almost 70 Trillion, umeshajiuliza investment cost za uchimbaji itakuwa trillion ngapi kabla hatujaanza kuuza tone la kwanza? Na ni nani anaweza kukukopesha hizo? Yule yule aliyekukopesha trillions za kujenga LNG Plant, ama?
2. Gas Exploration ilifanywa na Oil Companies kwa gharama zao. Umetumia pesa kidogo sana kwa kisima kimoja TU JUST for exploration, basi utatumia Sh 50 Billion! Unverified reports zinasema maandalizi yote hadi sasa yamekula zaidi ya TZS 5 Trillion.
That said, kama tunaamua kuchimba wenyewe basi tunatakiwa ku-refund hizo!!
Now tell me: Ni taasisi ngapi TZ zina uwezo ku-mobilize capital ya angalau hiyo 5 Trillion just for refund kabla hatujagusa hiyo LNG Plant?
Kidunia, Afrika, au Afrika Mashariki?Sina takwimu, lakini katika nchi zenye akiba kubwa ya gesi hatumo kabisa.
Hata, ukija East Africa, takwimu zinaonyesha Rwanda Na Uganda wana gesi nyingi kutuzidi. Msumbiji ndiye wako level zingine kabisa hatuwagusi.Kidunia, Afrika, au Afrika Mashariki?
Nikuulize wewe... hivi unajua hata hiyo PPT ni nini?!Hujaelewa hata kitu kimoja nimeongea Very sad
Nimeongelea PPT? hivi PPT unajua hata ni kitu gani nisipoteza muda kuongea na mtoto wa kindergarten
Ulichoandika iko.mweupe sifuri kichwani huelewi hata PPT ni nini? Sad loo
Hopeless kabisa
PPP unajua maana yake? NILIANDIKA KWA HASIRA KWA UJINGA ALIOJIBU WAZIRI HADI NIKAKOSEA SPELLING LOONikuulize wewe... hivi unajua hata hiyo PPT ni nini?!
Ni PPT au ulikuwa unajaribu kusema PPP?
Anyway, nipe hilo darasa la PPT!!!
Zote hizo HAZIPO hata kwenye Top 10 Africa wakati Tanzania ipo Top 10 Africa!!Hata, ukija East Africa, takwimu zinaonyesha Rwanda Na Uganda wana gesi nyingi kutuzidi. Msumbiji ndiye wako level zingine kabisa hatuwagusi.
Bwah! Bwah! Bwah!!
Ni waziri wa nishati huyo, huwezi kumpuuza.Mnamuhojihoji wa nini huyo!??
Katoa jibu lipi?PPP unajua maana yake? NILIANDIKA KWA HASIRA KWA UJINGA ALIOJIBU WAZIRI HADI NIKAKOSEA SPELLING LOO
Waziri anajibu jibu la uswahilini swali serious kama hilo