Ni bahati Njema awali mlikuwa wizara ya Mambo ya ndani na sasa Mwigulu yuko wizara ya fedha na Masauni karudishwa Mambo ya Ndani akiwa full minister, kwa uzoefu wenu mlikaa wazara hii mkazijua shida za askari hawa,,sasa kawalipeni posho zao za Maji+umeme+pango askari hawa wamevumilia sana.
Mwigulu uko jikoni hakikisha unawapa askari hawa posho hizo bila kupiga chenga kwenye bajeti hii
Mwigulu uko jikoni hakikisha unawapa askari hawa posho hizo bila kupiga chenga kwenye bajeti hii