Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Kundi kubwa kama lile kenge hawakosekani, si unaona wapo walimu wanapelekewa watoto kisha wanaanza kuwala wenyewe , tuwaombee tu ili isiwe kazi ya laana ! Japo sina ndugu wakaribu polisiKama kweli ndugu zetu, kwa nini kila siku wamekuwa wakiwafanyia uhalifu mbaya raia wema wasio na hatia kwa kuwabambikia kesi mbaya mbaya, kuwanyang'anya mali zao, kuwatesa raia na hata kuwaua bila ya kuwepo sababu za msingi?? Kwa nini?
"Good for the Jews is good for the Gunners, and bad for the Jews is also bad for the Gunners."