Kuna uhuni mwingi Mambo ya Ndani mfano hizo posho za Maji na umeme zinazungushwa tuKuna Ndugu yangu mmoja ni askari ana miaka kumi sasa, anakwambia hajawahi kupata hizo posho za pango, umeme wala maji,na amepanga mtaani,amejaza sana form ili apewe hizo stahiki zake lkn holaaa,cha ajabu kuna baadhi ya askari walioanza kazi juzi juzi wanapata hizo posho japo sio wote.akatolea mfano askari wametoka depo pamoja na kuanza kazi lakini mmoja anapewa posho ya pango Mwengine hapewi.haliyakuwa wanaishi mtaani wote.na aliniambia kuwa kama posho zote zilizo kuwa kwenye kitabu chao cha muongozo sijui wanakiita GPO wangekuwa wanalipwa kama inavyotakiwa basi zingewainua sana kimaisha
Lakini jamaa aliniambia kuna baadhi yao wanazipata hizo na wengine hawazipati!Kuna uhuni mwingi Mambo ya Ndani mfano hizo posho za Maji na umeme zinazungushwa tu
Posho ya pango kweli kuna wengine wanapata!! Ila posho hizi muhimu za maji +umeme ndo zinawekewa siasa kila mwaka wa fedhaLakini jamaa aliniambia kuna baadhi yao wanazipata hizo na wengine hawazipati!
Afande kituo chako cha kazi ni wapi?Posho ya pango kweli kuna wengine wanapata!! Ila posho hizi muhimu za maji +umeme ndo zinawekewa siasa kila mwaka wa fedha
Pole yao sana mapot wote! Mama anawapenda sana atawasaidia, angalau wao wanapakushika,sisi wengine vyeti vinaozea ndani,kula yetu kwa msoto🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Posho ya pango kweli kuna wengine wanapata!! Ila posho hizi muhimu za maji +umeme ndo zinawekewa siasa kila mwaka wa fedha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wataweza kulipa fine kwa kesi hizo za uhujumu uchumi?Nasema hivi hao wanaodai hela sio wazarendooooooooo na wafukuzwe kazi Mara 1 na wabambikiwe kesi ya uhujumu uchumi,nasema uongo ndg zanguuuuuuuuuuuuu.
Acha utani bwana mdogo tuwasemee mapoti wetu maana ni watoto wetu,wajomba zetu na shangazi wakipata na sisi tumepataAfande kituo chako cha kazi ni wapi?
Acha utani bwana mdogo tuwasemee mapoti wetu maana ni watoto wetu,wajomba zetu na shangazi wakipata na sisi tumepataAfande kituo chako cha kazi ni wapi?
Ndugu zetu na watoto wetu wanapombambikiwa kesi na wanaponyanyaswa na mapolisi na sisi tunanyanyasika.Acha utani bwana mdogo tuwasemee mapoti wetu maana ni watoto wetu,wajomba zetu na shangazi wakipata na sisi tumepata
Pole sana!! Wanatumika tu si wao!!Ndugu zetu na watoto wetu wanapombambikiwa kesi na wanaponyanyaswa na mapolisi na sisi tunanyanyasika.
Sasa adhabu na laana iwashukie wao pamoja na wanaowatumia.Pole sana!! Wanatumika tu si wao!!
PolisifisiemNi bahati Njema awali mlikuwa wizara ya Mambo ya ndani na sasa Mwigulu yuko wizara ya fedha na Masauni karudishwa Mambo ya Ndani akiwa full minister,,,,kwa uzoefu wenu mlikaa wazara hii mkazijua shida za askari hawa,,sasa kawalipeni posho zao za Maji+umeme+pango askari hawa wamevumilia sana
Mwigulu uko jikoni hakikisha unawapa askari hawa posho hizo bila kupiga chenga kwenye bajeti hii