Waziri Masauni na Mwigulu lipeni stahiki za askari Wizara ya Mambo ya Ndani

Kundi kubwa kama lile kenge hawakosekani, si unaona wapo walimu wanapelekewa watoto kisha wanaanza kuwala wenyewe , tuwaombee tu ili isiwe kazi ya laana ! Japo sina ndugu wakaribu polisi
 
Kundi kubwa kama lile kenge hawakosekani, si unaona wapo walimu wanapelekewa watoto kisha wanaanza kuwala wenyewe , tuwaombee tu ili isiwe kazi ya laana ! Japo sina ndugu wakaribu polisi
Polisi wengi zaidi ni waovu wabaya sana , Polisi wema ni wachache sana na idadi yao haifiki hata asilimia moja. Polisi wema ambao ni wachache wamefunikwa kabisa na Polisi waovu ambao ndio wengi zaidi kiasi cha kulifanya Jeshi lote la Polisi kuonekana ni Jeshi la Waovu na wahalifu.
 
Ila wanatabia za hovyo kweli ,ukienda pale na shida yako mwanamke mpeleke mwanaume akiitwa tu anaongea vizuri na mwanaume wewe uliyepeleka malalamiko yako unaanza kurushwa na rushwa juu wale watu sio kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…