Waziri Mbalawa, ulisema mkandarasi wa barabara ya Tanga to Pangani umemlipa bilioni 3 kuanza kazi sasa mbona haonekani site Tanga mjini na Pangani?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Hii ni kukutaarifu tu kuwa mkandarasi wa barabara ya Tanga to Pangani umemlipa bilioni 3 kuanza kazi haonekani site Tanga mjini wala Pangani? Hii ilikuwa ni mara ya mwisho sometime in September uliposema hayo mbele ya camera

Mvua zinanyesha ni tope tupu kila mahali! Mwambie basi aje alikwangue tope aliloliweka maisha yaendelee na barabara zetu za vumbi kuliko tope hili
 
Kwa trending yake na wengine ndani ya ccm usiwekeze sana kuwaamini maana wamejawa na ulaghai, ghiliba na uhuni wa kila aina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa trending yake na wengine ndani ya ccm usiwekeze sana kuwaamini maana wamejawa na ulaghai, ghiliba na uhuni wa kila aina
 
Waziri wa Ujenzi ni Bashungwa, Mbarawa hatokusaidia
 
Hii ndio Tzn,maigizo ni sehemu ya utaratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…