LGE2024 Waziri Mchengerwa: Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
huyu mpishi chakula chake kinaladha nzuri na tamu mdomoni ila tumboni chungu sana
 
Zoezi limefungwa jana jioni eti leo tayari wana takwimu za nchi nzima, huu uongo wa kipumbavu sana.
Upumbavu uliokithiri kabisa! Matokeo ya maporini huko wameyapataje haraka hivyo? Hii serikali wanatuona sisi ni Mazezeta Nini? Wakome kabisa kudanganya watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…