Waziri Medard Kalemani anadharaulika sana kuliko Mawaziri wote

Umesahau kuwa na Yeye Kipindi cha Mpwae ( Hayati Rais Dkt. Magufuli ) yupo ndiyo alikuwa Waziri si tu mwenye Dharau bali anayeogopeka pia katika Mawaziri wote. Kutesa kwa Zamu Ndugu.
Alikuwa na dharau sana kama hakujui.
 
Shida yake, hakuna na personal strength Bali alitegemea nguvu ya juu katika majukumu yake,,,Sasa mam amekuja na staili tofauti,,, mawaziri waonyeshe uwezo wao na Hilo ndilo tatizo na sio yeye tu wapo wengi,,
 
alibebwa tu na kapwaya sana.
Hana sauti na ni SUKUMA GANG.
 
Vijana wa chattle officially out, January Makamba anachukua mikoba leo saa nne baada ya kuapishwa kule Chamwino, kitovuni bye byeeee, kwanza mama alikosea sana kumrudisha kwenye cabinet huyo kalamaini
 
Tunawajua wafanya biashara ya Majenereta mnajipanga , hamna shukrani nyie umeme nchi nzima kashughulikia halafu mnamuona mbaya , sijui nchi hii tutabadilika lini watu wanashadadia ujinga , ufisadi na wizi .Mungu atuone tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…