KERO Waziri Mkenda umechemka, acha kutumia vibaya cheo chako kwa nidhamu ya woga

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

SHANTI

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
296
Reaction score
365
Nimefuatilia maamuzi ya waziri Mkenda kwa wakuu wa shule na walimu waliohusika kwenye kucheza wimbo wa zuchu Binafsi naona maamuzi ya Waziri Mkenda ni ya kukurupuka na hofu ya kutenguliwa nyadhifa yake. :

1. Maadili ya mtoto yaanzia nyumbani, Hawa watoto huu wimbo wamjifunza makwao kupitia redio na TV. Ukitizama Luninga DSTV wanaand kitu kinaitwa PG ,(Parental Guidance) utaona PG12,PG13,PG14 wakimaanisha mza kama mwanao sio miaka 12,13 au 14 asiangalie kwa sababu maudhui yake sio salama kwa maadili na ukuaji. Mwenye wajibu wa kuzia watoto wasiujue wimbo wa ZUCHU ni TCRA kwa ushirikiano wa muongozo wa maadili ya watoto toka wizara ya Mh. Gwajima na wao wizara ya elimu.

(2) Wizara ya Elimu inaruhusu michezo na muziki ni sehemu ya michezo, hususani kwenye tafrija za shule (Graduation) Kungelikuwepo PG ya TCRA na wizara DJ wa siku hiyo asingelipiga wimbo wa zuchu. Mtaala wa michezo unautambua muziki kama sehemu ya nyezo ya ufundishaji na kuandaa vipaji.

(3) Wazazi wa hawa watoto wanawajibika moja moja kwa athari chanya kwa makusudi wameacha rimoti za TV na watoto wao wakajifunza wimbo wa zuchu kwa sababu ule mwitikio kufuatisha mashairi nimkubwa sana ina maanisha watoto wote wanajua kuimba beti kwa beti ingawaje hata neno mpenzi wangu hawajuui maana yake , je nani atawaadhibu wazazi hawa kwa mmomonyoko wa maadili ulioleta athari chanya kwa watoto wao?

(4)Nani atawatetea walimu walioamua kufurahi na watoto wakaonekana wao sio peke yao wenye makosa juu ya mmomonyoko wa maadili kwa watoto hawa? Walimu ni sawa na third part kwenye mkataba hawana madhara ya moja kwa moja wanakuwa subjective kwa impact ya maoni ya mitandao. Tutafukuza walimu wangapi? Je, Graduation ngapi watoto wetu wancheza mbele ya wazazi na wazazi tunafurahi? Je , sherehe ngapi sisi watu wazima tumedhuruia halafu watoto wetu wanatoa show kushindana kucheza.

(5) Waziri wa Elimu katumia vibaya madarka yake kuwashusha vyeo walimu kwa makosa yasisowahusu moja kwa moja, natamani nione na afisa maendeleo ya Jamii wa mkoa husika na kata husika akiwajibishwa kwa madhara ya ukosefu wa maadili kwa ni kweli?

(6) Hivi leo hii seneti ya chuo kikuu Dar es salaam imvue hadhi uprofesa kwa sababu somo alilofundisha waliwahi wanafunzi kupata sup? how comes walimu wawajibike kwa suala mtambuka kama lile peke yao???

conclusion:
waziri amewaonea walimu wanaotakiwa kuwajibika ni TCRA, WAZAZI, WIZARA YA ELIMU.

Soma: Tunduma: Wakuu wa shule wavuliwa nyadhifa kisa wimbo wa Zuchu (Honey)

- Walimu walioshushwa vyeo na kusimamishwa kazi kisa Wimbo wa "Honey" warejeshwa kazini
 
Acha ujinga waziri yupo sahihi huwezi wachezesha watoto nyimbo za mapenzi umri ule. Hao waalimu akili zao finyu hata uwezo wa kusoma hatari hawana. Jitahidi uboreshe iq yako ipo chini sana
Wao wameijulia wapi Mkuu tushatoka huko kwenye ujima muda mrefu

Disco toto zipo kitambo tuu

Issue kubwa labda kuwarekodi na kutrend mtandao hicho ndo kinyume na sheria za watoto
 
Nimefuatilia maamuzi ya waziri Mkenda kwa wakuu wa shule na walimu waliohusika kwenye kucheza wimbo wa zuchu Binafsi naona maamuzi ya Waziri Mkenda ni ya kukurupuka na hofu ya kutenguliwa nyadhifa yake. :

1. Maadili ya mtoto yaanzia nyumbani, Hawa watoto huu wimbo wamjifunza makwao kupitia redio na TV. Ukitizama Luninga DSTV wanaand kitu kinaitwa PG ,(Parental Guidance) utaona PG12,PG13,PG14 wakimaanisha mza kama mwanao sio miaka 12,13 au 14 asiangalie kwa sababu maudhui yake sio salama kwa maadili na ukuaji. Mwenye wajibu wa kuzia watoto wasiujue wimbo wa ZUCHU ni @tcra_tanzania kwa ushirikiano wa muongozo wa maadili ya watoto toka wizara ya Mh. Gwajima na wao wizara ya elimu.

(2) Wizara ya Elimu inaruhusu michezo na muziki ni sehemu ya michezo, hususani kwenye tafrija za shule (Graduation) Kungelikuwepo PG ya TCRA na wizara DJ wa siku hiyo asingelipiga wimbo wa zuchu. Mtaala wa michezo unautambua muziki kama sehemu ya nyezo ya ufundishaji na kuandaa vipaji.

(3) Wazazi wa hawa watoto wanawajibika moja moja kwa athari chanya kwa makusudi wameacha rimoti za TV na watoto wao wakajifunza wimbo wa zuchu kwa sababu ule mwitikio kufuatisha mashairi nimkubwa sana ina maanisha watoto wote wanajua kuimba beti kwa beti ingawaje hata neno mpenzi wangu hawajuui maana yake , je nani atawaadhibu wazazi hawa kwa mmomonyoko wa maadili ulioleta athari chanya kwa watoto wao?

(4)Nani atawatetea walimu walioamua kufurahi na watoto wakaonekana wao sio peke yao wenye makosa juu ya mmomonyoko wa maadili kwa watoto hawa?? walimu ni sawa na third part kwenye mkataba hawana madhara ya moja kwa moja wanakuwa subjective kwa impact ya maoni ya mitandao. Tutafukuza walimu wangapi? Je, Graduation ngapi watoto wetu wancheza mbele ya wazazi na wazazi tunafurahi? Je , sherehe ngapi sisi watu wazima tumedhuruia halafu watoto wetu wanatoa show kushindana kucheza.

(5) Waziri wa Elimu katumia vibaya madarka yake kuwashusha vyeo walimu kwa makosa yasisowahusu moja kwa moja, natamani nione na afisa maendeleo ya Jamii wa mkoa husika na kata husika akiwajibishwa kwa madhara ya ukosefu wa maadili kwa ni kweli?

(6) Hivi leo hii seneti ya chuo kikuu Dar es salaam imvue hadhi uprofesa kwa sababu somo alilofundisha waliwahi wanafunzi kupata sup? how comes walimu wawajibike kwa suala mtambuka kama lile peke yao???

conclusion:
waziri amewaonea walimu wanaotakiwa kuwajibika ni TCRA, WAZAZI, WIZARA YA ELIMU.
Kabisa mkuu. Waziri kashughulikia tulipoangukia badala yatulipojikwaa. BASATA wapo na wanabariki nyimbo hizi kusikika na kuchezwa kwenye vyombo vya habari na si hao waalimu wakuu.
 
Naungana mkono na wewe, waalimu wakuu wameonewa
Vitoto vimekariri kila neno la wimbo huko makwao. kama siyo nyumbani ni kwa jirani
mimi mwenyewe nimependa vibe la vitoto
 
Jinga kabisa. Unataka shuleni wasisitize maadili kwa sababu nyumbani kuna baadhi hawakufunzwa? Kuna mijitu upeo wao wa kuona mambo ni kama wa nyumbu.
 
Sahihi..
 
Acha ujinga waziri yupo sahihi huwezi wachezesha watoto nyimbo za mapenzi umri ule. Hao waalimu akili zao finyu hata uwezo wa kusoma hatari hawana. Jitahidi uboreshe iq yako ipo chini sana
waziri kaangalia tulipoangukia, nakuuliza maswali yafuatayo kama nyyumbani kwako utakuwa kishimbusi cha DSTV.

Je, uliwahi kuona logo ya PG 12, PG 13, P14?
Kamauliwahi kuona ,uliwahi kujiuliza kwa nini imewekwa?
Unafahamu wajibu wa sera ya madili kwa wanaonesha maudhui kwenye TV au redioni?
Je, wanafunzi kwenye muda wa likizio au mapumziko kuna sheria inawakataza kucheza/ au kucheza muziki?
Je, kwa nini watoto wale hawachezi muziki ule kanisani au msikitini??????
Je, ni halali kumvua cheo cha uprofesa mh. mkenda kwa sababu wanafunzi wengi walifeli somo analofundisha aua wanfunzi aliowafundisha wamekuwa mafisadi?
Nijibu haya nikutajie IQ yako

chanzo cha watoto kucheza muziki kimeanzia kwenye udhaifu wa udhibiti maudhui ya rika uliofanywa na TCRA na BASATA na Wizara ya Jinsia na wiZARA ELIMU KUKOSA MIIONGOZO ya UPIGAJI MUZIKI SHULENI. Kama tungekuwa muongozo DJ asingepiga muziki ule shuleni.
 
Ha ha ha. Walimu Wana stress Mpwayungu Village
je, watoto wamijifunzia wapi kuimba wimbo wa mapenzi kama sio majumbani kwao. Kuna darasa linajengwa ili tukaimbe shuleni? kama wanajua kuimba na kucheza ipo sehemu wamejifunza kuimba na kucheza na huko ndipo tatizo lilipoanzia
 
Kazi ya BASATA ni ipi Sasa? Kwa mini waliruhusu wimbo usio na maadili?
wizara ianatakiwa itoe miiongozo ya maadili ya ushiriki wa michezo na Burudani kwenye mahafali au sherehe.
TCRA wanatakiwa watoe miongozo ya maudhui kwa rika kwenye televisheni na na redio ili tuwalinde watoto wetu wasisikilize wala kucheza nyimbo zilizokosa maadili.
 
Na nasikia na mtaala mpya unasomo la muziki Sasa si walimu wote watashushwa vyeo Kila uchapo
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom