Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Huko Handeni walipakimbia lini..?Nadhani point hapa ni kuwa Wamasai wamekubali kuhamia Handeni.
Hoja kubwa zaidi ni kuwa huko Handeni ndiko wanapopakimbia kurudi Ngorongoro.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko Handeni walipakimbia lini..?Nadhani point hapa ni kuwa Wamasai wamekubali kuhamia Handeni.
Hoja kubwa zaidi ni kuwa huko Handeni ndiko wanapopakimbia kurudi Ngorongoro.
Hiyo ni ardhi iliyotengwa kwa ajili ya mifugoHizo ndio siasa za bongo.
Naomba kuuliza Hakuna wakulima huko? Tusije anzisha tena vita vya wafugaji na wakulima tukawa tumetengeneza tatzo jipya.
Labda alimaanisha mita za mrabaWaziri mkuu wetu mbona mara nyingi anaongea vitu visivyokuwepo jamani? kha? km za mraba 400,000 handeni? kweli hiyo ni nusu ya ukubwa wa nchi hii iinayoshika nafasi ya 13 kwa ukubwa afrika ikiwa na km za mraba 960,000.
Anyway hongereni sana wamasai wa ngorongoro kupewa eneo lenye ukubwa wa nusu ya nchi wakati sisi tunasubiri reports za kuungua soko la karikaoo na mauaji yaliyofanyw ana polisi huko mtwara zote ni tume alizounda waziri mkuu
NARUDIA TENA , HONGERENI SANA WAMASAI MMEULA KWELIKWELI ingawa wilaya nzima ya handeni ina km za mraba 7000 tu
Wewe kilaza mpumbavu! Umemsikia kwa masikio yako au unasimuliwa?Jifunze kutofautisha kati ya km za mraba 400000 na eka 400000. Nafkir umekurupuka kuposti
Nyumba za waalimu zimewashinda sasa umeamua kuwauzia wamasai mbuzi kwenye gunia!
Na unaweza shangaa serikali ilishaanza ujenzi wa nyumba kwenye eneo ambalo wataenda kuishi hata kabla ya makubaliano kuwa wataondoka au hawaindoki 😂!.Kunamambo serekali ikishaamua hakuna njia ya kuyakwepa. Walianza kimasiara kutekenya Sasa taratiiibu watu wanainua makwapa. Yaan kwa kifupi suala la Masai kuondoka kwenye hiyo hifadhi ni lazima ni Jambo la taratibu tu
😍Ngorongoro.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepokea orodha ya majina ya awali ya kaya 86 zenye watu 453 ambao wamekubali kuondoka kwenye hifadhi ya Ngorongoro kwa hiari huku wengine wakiendelea kujiandikisha....
🤣🤣🤣Huyu mzee huwa haruki viunzi vyako mkuu..
Kinaitwa kiwewe cha kutaka mambo yaende fasta fastaIvi nikweli mtu akiwa hadhi ya waziri mkuu hana wahariri? Wasaidizi wa kazi hizo? Any way kwa elimu aliyikuwa nayo wakati Ana andaa hotuba yake hakufikiria kitu kama hicho? ... duh
Kazi tunayoUsinikumbushe mkataba wa Karl Peters na chifu Mangungo wa kisukuma. Kinachofurahisha ni ile signature ya Mangungo.