Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afika Kariakoo. Aagiza task force za TRA kusitisha shughuli zake haraka

Walimu kazi kwenu, wenzenu wamesikilizwa tena ameacha Bunge, akapanda Ndege akaja kusikiliza.

Wengine jifunzeni kuwa na Msimamo

Serikali ilidhani ni ni UTANI, watu wamekaza, Serikali ikasema Alhamis watu waende Dodoma,
Wafanyabiashara wakakataa
Wakasema Jumatano waende Ofisini kwa Waziri Mkuu wakagoma

Waziri Mkuu mwenyewe kaamua kwenda Kariakoo na sasa anaongea nao.
 
Nimpongeze Waziri Mkuu.

Anafanya kazi iliyopaswa kufanywa na Waziri wa Fedha....
 
Nimpongeze Waziri Mkuu.

Anafanya kazi iliyopaswa kufanywa na Waziri wa Fedha....
Walimkataa Waziri wa Fedha, wakawa wanamtaka Mama.
Waziri Mkuu kawahi kusikiliza
 
Naona wame vaa barakoa .. sio lazima mtangaziwe teh teh kila mtu aokoe roho yake
 
Ukute Akaunti za Maokoto leo hazisomi..
Wakaona na kesho ikiwa hivyo itakuwaje... PM akaona isiwe shida... Dar siyo mbali kiasi hicho...

Na unaambiwa Wafanyabiashara walikuwa hawafungui Maduka hadi wapate Muafaka wa malalamiko yao.
 
Watumishi wenye jeuri hiyo ni wakenya tu!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…