Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwanini upinzani wanamchukia sana huyu P.M.Uamuzi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, umekuja baada ya kusikiliza kero za Wafanyabiashara walioitisha Mgomo wa kutofungua Maduka leo Mei 15, 2023...
Muachage unafikiMajaliwa Zimamoto.
Kwani hapo nilipoandika umeelewa nini mpaka uniambie niache unafiki?Muachage unafiki
kama unaona sijaelewa niambie ulimaanisha nini??Kwani hapo nilipoandika umeelewa nini mpaka uniambie niache unafiki?
Maana Watanzania wengi mmejaa mihemuko mna comment bila kuelewa kilichoandikwa.
Kwanza wewe niambie nimemaanisha nini mpaka ukaona huo ni unafiki?kama unaona sijaelewa niambie ulimaanisha nini??
Kama ni hvo Mimi nilishakuelewa ulichomaanisha na hilo ndo jibu langu "uachage unafiki" full stop kama una hoja letaKwanza wewe niambie nimemaanisha nini mpaka ukaona huo ni unafiki?
Nataka tujuane vizuri, mimi pia nisifanye kosa kama ulilofanya wewe la kufikiri nimekuelewa bila hata ya kukupa nafasi ya kufafanua ulimaanisha nini, utuambie mnafiki ni mtu wa namna gani, una ushahidi gani kuhusu unafiki wangu, kwa nini unafikiri mimi ni mnafiki.
Funguka.
Umeshindwa hata kutueleza kwa nini unafikiri mimi ni mnafiki.Kama ni hvo Mimi nilishakuelewa ulichomaanisha na hilo ndo jibu langu "uachage unafiki" full stop kama una hoja leta
Kwa hyo wewe uliandika comment kwa expectation kuwa hatutoielewa ??Umeshindwa hata kutueleza kwa nini unafikiri mimi ni mnafiki.
Kwa nini?
Hujui uliandika hivyo kwa sababu gani?
Au unaona sababu zako hazina msingi kiasi kwamba unazionea aibu kuzitaja hapa?
Dai la kumuita mtu mnafiki ni kubwa, na kama wewe mwenyewe unalifanya bila unafiki, unapaswa kutoa sababu zako hapa.
Angalia usije kuita watu wanafiki kwa psychological projection, ukiwapa tabia zako.
Tupe sababu hapa, kwa nini umeniita mnafiki?
Vinginevyo wewe ndiye mnafiki, kumuita mtu mnafiki bila sababu.
Wapi umeona expectation ya kutoelewa?Kwa hyo wewe uliandika comment kwa expectation kuwa hatutoielewa ??
Okay nmekuita mnafiki kutokana na ile comment yako so rudi kwa ile comment ipitie then utajua kwa nini nmekuita mnafiki
Washua wote wanabarakoa shingoni sanukeni wadau Kuna info wanaifanya classified
Mpaka sasa.Kwa hyo wewe uliandika comment kwa expectation kuwa hatutoielewa ??
Okay nmekuita mnafiki kutokana na ile comment yako so rudi kwa ile comment ipitie then utajua kwa nini nmekuita mnafiki
Nasubiri uniambie unafiki ni nini na kwa nini umeniita mimi mnafiki.Kwa hyo wewe uliandika comment kwa expectation kuwa hatutoielewa ??
Okay nmekuita mnafiki kutokana na ile comment yako so rudi kwa ile comment ipitie then utajua kwa nini nmekuita mnafiki
Hilo hata Tundu Antipas Lisu alishasema tatizo siyo Shujaa Magufuli!Kumbe tatizo hakuwa Meko ila TRA kutumia mabavu kwenye kukusanya kodi ni kawaida yao.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameamua kukutana na kuongea na Wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo leo ambapo tayari amefika Kariakoo muda huu badala ya Jumatano May 17,2023 ambayo ilitangazwa hapo wali hii ni kutokana na uzito wa suala hilo.
Awali mkutano kati ya Waziri Mkuu na Kamati ya Wafanyabiashara hao pamoja na TRA na Mawaziri wa Sekta husika ulitarajiwa kufanyika saa 8 Mchana kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu Magogoni-Ikulu Dar es salaam Jumatano May 17, 2023 kwa uratibu wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makala, lakini Waziri Mkuu ameamua aende leoleo Kariakoo.
Pia Soma:
- News Alert: - Mgomo mkubwa Soko la Kariakoo: Maduka yamefungwa, Mei 15, 2023
Nimesikia kwa mwaka kodi pale ni b. 200.. mbona bado ndogo..
Mazuzu mnauziwa hadaa, nchi ina wajinga wengi sanaPM apewe maua yake.