ndoto ya kimweri
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 413
- 979
Unamombea nafasi?TAMISEMI angepewa mtu kama Kalemani pamoja na madhaifu yake lakini ni mfuatiliji mzuri sn
wala hata simjui isipokuwa TANESCO alipanyoosha sn, alikuwa akitoa masaa jambo fulani lifanyike linafanyika haraka sn, huyu mswahili umeme unakatwa muda wowote bila sababu za msingi na hakuna kitu.Unamombea nafasi?
Mafaili ya hao wakuu wa mashirika yapo wazi kuhusu utendaji wao mbovu , maswahiba wa msoga gang ndo wapo huko , yeye kawaweka akijua ni wabovu na wapigaji, zigo aangushiwe majaliwa , akiwa mkali ooh anastyle ya mwendazake mara hii sio awamu ya kufokeana , pumbavuNo rais alitaka kuwaonesha kwamba hawafai. Kazi za rais ni kusimamia subordinates wafanye kazi siyo yeye kukimbizana na wafanyakazi siyo kazi yake
Sheria haimruhusu rais kufire mtu ispokuwa wateule wake tu. Soma katiba ueleweMafaili ya hao wakuu wa mashirika yapo wazi kuhusu utendaji wao mbovu , maswahiba wa msoga gang ndo wapo huko , yeye kawaweka akijua ni wabovu na wapigaji, zigo aangushiwe majaliwa , akiwa mkali ooh anastyle ya mwendazake mara hii sio awamu ya kufokeana , pumbavu
Ukute hata yeye pia ni hivyo.Ndio mama anatakiwa ajue ni Kwa nini baadhi watu walifurahi baada ya kusikia msiba wa taifa
Sent from my RMX2189 using JamiiForums mobile app
Mimi nilitegeea kuona waziri mkuu, mawaziri na makatibu wakuu wote waachie ngazi kwa huu upuuzi lakini.mpaka sasa wapo ofisini wanakula kiyoyoziWote namba moja mpaka namba tatu wameshindwa kazi,hawapaswi kuwepo ofisini.
Yaani kwa "umungu - mtu" anaopewa rais wa JMT na katiba yetu,hapaswi kulalamika kama mimi mwananchi wa kawaida wa huku Lingusenguse.
Mama naye anasubiri nini kujiuzulu?Licha ya madudu yote hayo yaliyooneshwa na CAG lakini bado anakalia ofisi tu? Hebu fikiria Waziri Mkuu wa Iingereza alijiuzulu kwa kosa tu la kucheza mziki kipindi Cha COVID 19 lakini sisi huku Waziri Mkuu ndo kwanza anachekelea. Hivi nchi za kiafrika tunelaaniwa?
Rais hawezi kumwambia Waziri Mkuu eti jiuzulu bali PM mwenyewe ndo nafsi inapaswa imsute. Jana Rais Samia kaongea very logical issues akimlenga pm kwamba hana lolote analojua kama mtendaji Mkuu wa Serikali.
Elimu ndogo ndo inakusumbua. Rais ana machineries na ndo hizo zimemletea ripoti na rais anasimamia mawaziri wote. Rais hapaswi kukimbizana na wafanyakazi unless kama hajui mopaka yake kama alivyokuwa jpm. Wafanyakazi wanapaswa kusimamia na pm ambaye ameshindwaMama naye anasubiri nini kujiuzulu?
Ina maana mpaka CAG achunguze ndo ajue kuna ubadhirifu mkubwa?
Kwani taarifa hana?
Kwa hoja yako hii nani ana elimu ndogo kati yako na yangu?Elimu ndogo ndo inakusumbua. Rais ana machineries na ndo hizo zimemletea ripoti na rais anasimamia mawaziri wote. Rais hapaswi kukimbizana na wafanyakazi unless kama hajui mopaka yake kama alivyokuwa jpm. Wafanyakazi wanapaswa kusimamia na pm ambaye ameshindwa
Soma kuhusu system.Rais ni system na katiba inasema hivyo. Soma katiba vizuri sura 6 ibala ya tano
Ndo mana kaletwa na imesomwa hadharani kila mtu ajue kwanza hiyo ni ya kupingezwa ingekuwa enzi zile za giza kila kitu kingefichwa ili muone mambo yote yapo shwariSoma kuhusu system.
System inaelewa kila kinachotokea. Ugonjwa ni matokeo ya kupuuzia dalili
Elewa somo
ni wa FinlandWaziri Mkuu wa Iingereza alijiuzulu kwa kosa tu la kucheza mziki kipindi Cha COVID 19
Hujui unachokijadili mkuuNdo mana kaletwa na imesomwa hadharani kila mtu ajue kwanza hiyo ni ya kupingezwa ingekuwa enzi zile za giza kila kitu kingefichwa ili muone mambo yote yapo shwari
Kwani nasema uongo. Vitu vingapi tumepwa fix na jpm mpaka akifika hatua ya kutufix eti tumeingia uchumi wa kati na wakati huohuo vyombo vya habari haviruhusiwi kuhoji chochote na ulijaribi unapoteza au unaumizwa vibaya sana kama akina kabenderaHujui unachokijadili mkuu
Acha chuki za kijinga dhidi ya PM wewe.Elimu ndogo ndo inakusumbua. Rais ana machineries na ndo hizo zimemletea ripoti na rais anasimamia mawaziri wote. Rais hapaswi kukimbizana na wafanyakazi unless kama hajui mopaka yake kama alivyokuwa jpm. Wafanyakazi wanapaswa kusimamia na pm ambaye ameshindwa