Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatakiwa kuwajibika kwa kudanganya Taifa lililokuwa na taharuki kubwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatakiwa kuwajibika kwa kudanganya Taifa lililokuwa na taharuki kubwa

Daah yule ndio simuamini hata kidogo vichwa panga vya namna ile havijawahi kuwa timamu Mkuu...
image_search_1616084461295.jpg
 
Na yule mwengine akasema ametoka kuongea nae asubuhi akimshukuru kwa fedha za miradi alizompa
Hawa watu wamefanya vitendo ambavyo vimeifedhehesha sana serikali.

Wanasababisha serikali kuonekana kama ya komedian.
 
Yeah waziri Mkuu amejiwekea dosari sio tu kwa kusema uongo bali kwa kuongopa akiwa katika nyumba ya ibada (Msikitini).

Nadhani yafaa sasa ajitafakari mwenyewe kisha achukue uamuzi wa kujiudhuru,
Kuliko kusubiri watanzania waanze hizi kampeni za kumtaka afukuzwe kazi.
Nadhani hatupaswi kuwafumbia macho viongozi waongo.

Na asipewe tena nafasi!
Coz Jamii ilikuwa inamuamini sana, na anaonekana ni mtu wa dini!
Hahaha
Mtu unatumia miaka mingi kulijenga Jina lako na heshima then unakuja kuliharibu ndani ya dakika tu.
[emoji106][emoji106]
 
J Makamba anafaa kuwa PM

Mtu mwenye tabia ya kuendesha underground campaign dhidi ya boss wake hafai hata kidogo kwa nafasi kama hiyo!

Kama alikuwa na disagreement ya msingi sana na boss wake (i.e., kuhusu jambo lenye maslahi makubwa ya taifa), alipaswa kujiuzulu. Walichofanya yeye na Nape ni usaliti kwa boss wao usiovumilika. Kama walimsaliti JPM wanaweza kumsaliti kiongozi mwingine yeyote. Hawatufai kabisa!
 
Wana bodi najua kabisa tupo kwenye msiba mkubwa. Msiba ambao umemgusa kila mtu na mpaka sasa kila mwananchi haamini kilichotokea.

Lakini yapata kama wiki moja iliyopita taifa zima lilikumbwa na taharuki kubwa. Kila raia mwenye mapenzi na mkuu wa nchi yetu alitaka kujua kama anaumwa au haumwi. Wapo waliojitolea kuwa wapiga mbiu. Wao walisema kuwa Rais anaumwa na yupo hoi

Ghafla akaibuka Waziri mkuu akiwa ziarani huko nyanda za juu kusini. Alitoa tamko ambalo sababu yeye ndio msimazi wa shughuli za serikali kila mwananchi alimuamini. Aliwahakikishia watanzania kuwa Rais haumwi na anachapa kazi kama kawaida.

Tamko la Waziri mkuu kuwa Rais alikuwa mzima linakinzana na taarifa tuliyopewa na makamu wa Rais kuwa tangu tar 6 March Rais amekuwa mgonjwa tena aliyekuwa amelazwa.

Je, kwa hali ya kawaida kuna raia ambae bado anaweza kumuamini Waziri mkuu tena?
Naafiki.
Hakutumia busara.
 
Hiyo kazi muachie Mama Samia maana ni lazima aje na Waziri Mkuu wake. Chance ya Majaliwa iko ndogo sana.
 
Back
Top Bottom