Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
-
- #61
Daah yule ndio simuamini hata kidogo vichwa panga vya namna ile havijawahi kuwa timamu Mkuu...
Hawa watu wamefanya vitendo ambavyo vimeifedhehesha sana serikali.Na yule mwengine akasema ametoka kuongea nae asubuhi akimshukuru kwa fedha za miradi alizompa
[emoji106][emoji106]Yeah waziri Mkuu amejiwekea dosari sio tu kwa kusema uongo bali kwa kuongopa akiwa katika nyumba ya ibada (Msikitini).
Nadhani yafaa sasa ajitafakari mwenyewe kisha achukue uamuzi wa kujiudhuru,
Kuliko kusubiri watanzania waanze hizi kampeni za kumtaka afukuzwe kazi.
Nadhani hatupaswi kuwafumbia macho viongozi waongo.
Na asipewe tena nafasi!
Coz Jamii ilikuwa inamuamini sana, na anaonekana ni mtu wa dini!
Hahaha
Mtu unatumia miaka mingi kulijenga Jina lako na heshima then unakuja kuliharibu ndani ya dakika tu.
Una uhakika?Hana haja ya kujiuzulu Mama Samia akiapa kuwa raisi na baraza la mawaziri automatical linavunjika
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Mkuu nimecheka sanaMbaya zaidi amedanganya akiwa ndani ya Msikiti kwenye ibada ya Ijumaa.
J Makamba anafaa kuwa PM
Naafiki.Wana bodi najua kabisa tupo kwenye msiba mkubwa. Msiba ambao umemgusa kila mtu na mpaka sasa kila mwananchi haamini kilichotokea.
Lakini yapata kama wiki moja iliyopita taifa zima lilikumbwa na taharuki kubwa. Kila raia mwenye mapenzi na mkuu wa nchi yetu alitaka kujua kama anaumwa au haumwi. Wapo waliojitolea kuwa wapiga mbiu. Wao walisema kuwa Rais anaumwa na yupo hoi
Ghafla akaibuka Waziri mkuu akiwa ziarani huko nyanda za juu kusini. Alitoa tamko ambalo sababu yeye ndio msimazi wa shughuli za serikali kila mwananchi alimuamini. Aliwahakikishia watanzania kuwa Rais haumwi na anachapa kazi kama kawaida.
Tamko la Waziri mkuu kuwa Rais alikuwa mzima linakinzana na taarifa tuliyopewa na makamu wa Rais kuwa tangu tar 6 March Rais amekuwa mgonjwa tena aliyekuwa amelazwa.
Je, kwa hali ya kawaida kuna raia ambae bado anaweza kumuamini Waziri mkuu tena?
Hiyo kazi muachie Mama Samia maana ni lazima aje na Waziri Mkuu wake. Chance ya Majaliwa iko ndogo sana.Wana bodi najua kabisa tupo kwenye msiba mkubwa. Msiba ambao umemgusa kila mtu na mpaka sasa kila mwananchi haamini kilichotokea.
Lakini yapata kama wiki moja iliyopita taifa zima lilikumbwa na taharuki kubwa. Kila raia mwenye mapenzi na mkuu wa nchi yetu alitaka kujua kama anaumwa au haumwi. Wapo waliojitolea kuwa wapiga mbiu. Wao walisema kuwa Rais anaumwa na yupo hoi
Ghafla akaibuka Waziri mkuu akiwa ziarani huko nyanda za juu kusini. Alitoa tamko ambalo sababu yeye ndio msimazi wa shughuli za serikali kila mwananchi alimuamini. Aliwahakikishia watanzania kuwa Rais haumwi na anachapa kazi kama kawaida.
Tamko la Waziri mkuu kuwa Rais alikuwa mzima linakinzana na taarifa tuliyopewa na makamu wa Rais kuwa tangu tar 6 March Rais amekuwa mgonjwa tena aliyekuwa amelazwa.
Je, kwa hali ya kawaida kuna raia ambae bado anaweza kumuamini Waziri mkuu tena?
Serikali imevunjika?Hiyo kazi muachie Mama Samia maana ni lazima aje na Waziri Mkuu wake. Chance ya Majaliwa iko ndogo sana.
Akiapishwa tu automatically baraza la mawaziri limevunjwa. Hivyo itabidi achague Waziri Mkuu upya.Serikali imevunjika?
Nafsi yake inamsuta kwa kujipendekeza huko, muda mwengine ni bora kukaa kimya tu kama huna la kuzungumza
Si ndio alitandika wanafunzi vibokoDaah yule ndio simuamini hata kidogo vichwa panga vya namna ile havijawahi kuwa timamu Mkuu...
Yule anajulikana ni empty setNa yule mwengine akasema ametoka kuongea nae asubuhi akimshukuru kwa fedha za miradi alizompa
Yule anajulikana ni empty set
Marehemu kadhihakiwa kwa kweliYule anajulikana ni empty set
Yule level yake ni ya ubaloziYule anajulikana ni empty set
Kuna mijitu mijinga sana kiongozi wanguAngalia clip ipon U tube, utajiona mjinga kutetea ujinga