Kimwerymdodo5
JF-Expert Member
- Feb 10, 2019
- 2,043
- 3,305
Tena kibaya zaidi, kadanganyia kwenye nyumba ya ibada (msikitini)... shame on him... 🚮
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia clip ipon U tube, utajiona mjinga kutetea ujingaKwenye taarifa ya VP alisema Rais aliruhusiwa kutoka hospital trh 7 na aliendelea na kazi zake kabla ya kuzidiwa tena, Kwa hiyo PM alikuwa correct aliposema kuwa Rais anachapa kazi zake hakudanganya wakuu unless kama tulichopewa kwenye taarifa siyo sahihi lkn kama ndivyo PM alisema kweli
Upo sawa, matokeo yako maombi yakakoma. ajiuzuruDaah wangetuambia ukweli tungemuombea mpenzi wa Mungu..
Aliyesema nani?Si umeambiwa tarehe 7 aliruhusiwa kurudi nyumbani kisha alirudishwa hospitali tarehe 13?
Huyo mzee nilimjua kipindi alipoambiwa kuwa shangazi zake wangevunjwa viuno na yeye akakaa kimya"Yuko mzima anachapa kazi"
Kama walipuuzia ushauri wa wataalam hakuna namna hapo.Mmeanza mapema hivi?But Mungu ataipigania Tanzania.
Mashujaa wote hawawezi kuanguka siku moja
Hata kuipata hiyo nafasi ya PM kwake yeye aliona kama muujizaMajaliwa namuanaga kama robot, huwa hakuamini na hafai kupewa madaraka makubwa