Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ndiyo utaona wanaongezewa ulinziWanabodi najua kabisa tupo kwenye msiba mkubwa. Msiba ambao umemgusa kila mtu na mpaka sasa kila Mwananchi haamini kilichotokea.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo utaona wanaongezewa ulinziWanabodi najua kabisa tupo kwenye msiba mkubwa. Msiba ambao umemgusa kila mtu na mpaka sasa kila Mwananchi haamini kilichotokea.....
Itabidi nawe ufunguliwe mashtaka uliamini vp bila Kuchunguza kwanza. Pole anywayWanabodi najua kabisa tupo kwenye msiba mkubwa. Msiba ambao umemgusa kila mtu na mpaka sasa kila Mwananchi haamini kilichotokea...
Hizo teknic za kudanganya umma kwa madai ya kuulinda na kuwa hawawezi kuhandle ukweli ni za kizamani na kishamba sana.Tanzania sio US, wa TZ mnapenda sana kujilinganisha na mataifa yenya ustaarabu tofauti, uelewa tofauti nasi. Huku kwetu watau wanadanganyika kwa urahisi, wanaogopa kwa urahisi na nchi kuingia kwenye sitofahamu ni rahisi mno. Mnataka mfafanuliwe kila kitu kama watoto wa nursery?
NDIYO> Wapo wengi tu watakaoendelea kumwamini Waziri Mkuu. Ila kwa wale wasiojua mfumo, utaratibu, na itifaki za uendeshaji wa nchi, ndio watakao acha njia panda kwani si kila kitu kinachomhusu kiongozi wa nchi, kinapaswa kuwekwa hadharani...Wanabodi najua kabisa tupo kwenye msiba mkubwa. Msiba ambao umemgusa kila mtu na mpaka sasa kila Mwananchi haamini kilichotokea...
Zambi kubwa sana hiiMbaya zaidi amedanganya akiwa ndani ya Msikiti kwenye ibada ya Ijumaa.
Asipo jiudhuru kwa hiari yake atapumzishwa kwa amaniAjiuzulu fasta ,haiwezekani adanganye taifa.
Na yule wa Mbeya aliyesema aliongea naye kwenye simu
Yule level yake ni ya ubalozi
Waziri Mkuu alikuwa sahihi tena sahihi kabisa!! kutamka aliyo tamka naomba mnielewe!! taarifa km hii inaruhusiwa Kisiasa, kiutamaduni, na kiuchumi pia!! hata mie nilikuwa km wewe lkn nikafikiri tena kwa mtizamo tofauti baada ya kusikiliza hotuba yake fupi kwa kina kwa sababu zifuatazo;
1. Uongo mtakatifu unao fanana na ukweli, hii ina kubalika hta Mbinguni kwa Mungu!! mbali na hii kwani Majaliwa yeye ni Daktari kusema kwamba alimpima mgo njwa yeye akatoa hili jibu?
Yeye km muuguzaji aliwakilisha taarifa km ilivoletwa kwake na Madaktari wa zamu wa siku hiyo, wakati anajiandaa kweenda msikitini!! akaona atumie hiyo nafasi!! ,,, hata kusign baadhi ya nyaraka RAIS alikuwa anafanya kazi hizo akiwa akingali kwa Hosp!! akasema kwani alikufa siku aliyo sema hayo maneno au alikufa baadaye? Rais habebi vyuma kusema eti ata shindwa ku sign na kutoa maelekezo tuu!!
2. Imani kuu aliyo kuwa nayo dhidi ya Boss wake aliamini Mungu ana mlinda Rais! kwa gharama kubwa lkn Mungu kaamua vinginevyo akamchukua!! sasa waziri mkuu afanyeje akaamsute Mungu siyo?? kikubwa ni imani aliyojawa nayo muhusika.
3. Jopo la madaktari liliokuwa lina shughulika na tiba ya Rais aliliamini mno na lilikuwa likimtia Moyo na hii ni tabia za tabibu wote Duniani hata km mgonjwa wako amekufa hawawezi kukupa jibu la moja kwa moja, kwa nini kaulize wenye taaluma yao matabibu ndo kazi yao!
4. Huduma nzuri na za kisasa! alizopewa marehemu alijua zita msaidia tu.
5.Maombi aliyo piga Majaliwa na familia yake usiku na mchana ya kufunga na kuomba aliyaamini lkn Mungu kaamua vinginevyo, mkitaka muulizeni Mungu.a
6.Watanzania wenye Imani waliingia kwenye Maombi pamoja na waziri Mkuu! ili kumtia nguvu inaonyesha waziri alikuwa na imani thabiti lkn Mungu akaamua vinginevyo! alitamka ukweli kuhusu afya ya Rais kwa wakati ule lkn hali ilibadilika sasa amfufue?
7.W/Mkuu Anaamini Mungu akisema yeye kazi ya uwaziri Basi!! ni amesema, hawezi kupingana na kauli ya Mungu ambae amempa hiyo kazi, wewe ni nani mpaka uingilie kazi aliyo pewa na Maulana au unataka kuondoka na wewe umfuate Rais wako yule mtanashati??
8. W/Mkuu anaamini kila kitu kina mwisho wake, yeye ni nani asiwe na Mwisho? akasema wapo vigogo kuliko yeye waliopitia kwenye Moto km kina Saddam Husein nk na wakapotea mazima sembuse yeye W/Mkuu?
9;Anaamini km ipo!! ipo tu piga ua garagaza atabaki kuwa yeye! kama Mung akitaka. wangapi Mungu aliwakataa wako wapi! mfano Tafawa balewa Mungu alikataa waziwazi, Suka Buka Dimka Mungu alimkataa on the spot! anasema kwanza kufika hapo alipo ni Mungu tu! hakuwahi kuwazia hiyo nafasi kwanza ana mshukuru Mungu Na watanzania, kuwa km alivo leo! cheo ni dhamana alifundishwa hivo!
10, Kufa Boss wake siyo mwisho wa Safari yake kisiasa, Mungu alivo wa ajabu mnaweza kuniponda Leo kweli nikaondoka lkn Mungu akafungua milango zaidi Ikawa mwanzo mwingine mzuri kwangu na familia yangu na nikafanya Siasa za kimataifa na Bado mkanihitaji kuliko mnavoniona leo!!
Nasema hivi sioni tabu kuwajibika kama watanzania wakinihitaji kufanya hivo!! ni suala la muda tu!! utasema!!
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Africa..... Aksanteni kwa kunisikiliza!!!!! alisema Majaliwa
Ametakiwa akijuzuru na nani?Wanabodi najua kabisa tupo kwenye msiba mkubwa. Msiba ambao umemgusa kila mtu na mpaka sasa kila Mwananchi haamini kilichotokea.
Lakini yapata kama wiki moja iliyopita taifa zima lilikumbwa na taharuki kubwa. Kila raia mwenye mapenzi na mkuu wa nchi yetu alitaka kujua kama anaumwa au haumwi. Wapo waliojitolea kuwa wapiga mbiu. Wao walisema kuwa Rais anaumwa na yupo hoi
Ghafla akaibuka Waziri mkuu akiwa ziarani huko nyanda za juu kusini. Alitoa tamko ambalo sababu yeye ndio msimazi wa shughuli za serikali kila mwananchi alimuamini. Aliwahakikishia watanzania kuwa Rais haumwi na anachapa kazi kama kawaida.
Tamko la Waziri mkuu kuwa Rais alikuwa mzima linakinzana na taarifa tuliyopewa na Makamu wa Rais kuwa tangu tar 6 Macih Rais amekuwa mgonjwa tena aliyekuwa amelazwa.
Je, kwa hali ya kawaida kuna raia ambae bado anaweza kumuamini Waziri Mkuu tena?
Kumbuka kwamba baada ya tamko lake lile kuna watu walikamatwa kwa kumzushia Rais ugonjwa.Mmeanza mapema hivi? But Mungu ataipigania Tanzania.
Mashujaa wote hawawezi kuanguka siku moja
Mwanasiasa gani huwa anaongea ukweli?
Siyo waziri mkuu tu, hata mama Samia akiwa Tanga alisema rais mzima anawasalimia. Msimwonee majaliwa.Wanabodi najua kabisa tupo kwenye msiba mkubwa. Msiba ambao umemgusa kila mtu na mpaka sasa kila Mwananchi haamini kilichotokea.
Lakini yapata kama wiki moja iliyopita taifa zima lilikumbwa na taharuki kubwa. Kila raia mwenye mapenzi na mkuu wa nchi yetu alitaka kujua kama anaumwa au haumwi. Wapo waliojitolea kuwa wapiga mbiu. Wao walisema kuwa Rais anaumwa na yupo hoi
Ghafla akaibuka Waziri mkuu akiwa ziarani huko nyanda za juu kusini. Alitoa tamko ambalo sababu yeye ndio msimazi wa shughuli za serikali kila mwananchi alimuamini. Aliwahakikishia watanzania kuwa Rais haumwi na anachapa kazi kama kawaida.
Tamko la Waziri mkuu kuwa Rais alikuwa mzima linakinzana na taarifa tuliyopewa na Makamu wa Rais kuwa tangu tar 6 Macih Rais amekuwa mgonjwa tena aliyekuwa amelazwa.
Je, kwa hali ya kawaida kuna raia ambae bado anaweza kumuamini Waziri Mkuu tena?
Kiprotocol alipaswa kulisemea hili, Pal msikitini palikuw mahali pa kusemea tu, kwa sababu pia wanapewaga nafasi hiyo ya kusema neno!! kumbuka wakati anayaongea haya alikuwa hajafa!!! umeelewa!! alikuwa anapiga story na kufanya baafhi ya majukumu mepesi!!Siyo sahihi kabisa kudanganya,kwanza sidhani kama kuna mtu alimuuliza Rais yuko wapi pale msikitini. Hivyo angeendelea kukaa kimya kuliko kudanganya msikitini