Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
But manyanza sio mbumbumbuMkuu inaonekana hauna uelewa wa kutosha kuhusu siasa za Kimataifa na unashindwa kuitofautisha UN na nchi ya USA.
Kitu unachotakiwa kujua ni kwamba ijapokuwa Makao Makuu ya UN yanapatikana NewYork, lakini hayana uhusiano wa moja kwa moja na nchi ya USA kwakuwa matakwa ya Kimataifa yameitofautisha US na UN kama mamlaka mbili tofauti zinazojitegemea.
Mfano Rais wa kukusaidia kuelewa ni kwamba wakati aliyekuwa Rais wa Zimbabwe hayati Robert Mugabe amezuiliwa kutembelea Ulaya na Marekani, marufuku hiyo haikuweza kumzuia kuhudhuria Mikutano ya Umoja wa Mataifa ambayo ilikuwa ikifanyika hapo hapo Marekani kwakuwa kwa mujibu wa sheria za kimataifa zimeweza kuitofautisha taifa la marekani dhidi ya viunga vya UN
Nchi ina watu wajinga sana. Naunga mkono polisi wafanye kazi yao. Kuruhusu nchi kuwa na wajinga wa kiwango kilichopo sasa ni hatari kwa afya ya nchi. Hivi kuna wakosoaji wakubwa wa nchi za Magharibi kama Mugabe, Maduro, Iran; na wote hao walikuwa wakienda UNGA.Angeeda nako mngesema amelimbi soo lake ,yuko hapa kupambana na magaidi wa nchi ,sio mara ya kwanza kiongozi yeyote kumuwakilisha Mh Rais Samia ,acha ujinga dogo
USSR
Kwamba safari ya Marekani inaandaliwa kama safari ya kupanda Abood kutoka Dar kwenda Moro au? Ndo umeshishindwa hata kujiongeza kidogo tu?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, alitakiwa kuhudhuria kikao cha UN (UNGA) Lakini amemtuma Waziri Mkuu wa JMT MH. Kassim Majaliwa kumuwakilisha.
My take: Tayari Raisi keshaingia hofu kutokana na hotuba yake aliyoitoa juzi kwenye maazimisho ya miaka 60 ya kumbukizi ya Jeshi la Polisi? Maana tunafahamu sote Raisi wetu ni mtu anayependa sana kusafiri.
Kama ameshaanza kumtuma msaidizi wake kwenye majukumu aliyopaswa kihudhuria, Je safari za nchi za Magharibi atakuwa hahudhurii ?
Safari zake zitakuwa ni za South Korea, Turkey, Uarabuni na China……
Nawasilisha
Zaidi soma hapa.
WAZIRI MKUU KUMWAKILISHA RAIS SAMIA UNGA79
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Alhamisi, Septemba 19, 2024) kwenda Marekani ambako atamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79).
Mkutano huo unaotarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 20-26, 2024, utafanyika jijini New York, Marekani ambapo masuala ya kiuchumi, biashara, nishati, siasa, mazingira, afya, vijana na watoto yatajadiliwa. Masuala mengine ni ya maji, bahari, athari za hali ya hewa na haki za binadamu.
Katika mkutano huo ambao hufanyika kila mwaka, viongozi wa nchi mbalimbali wanatarajiwa kushiriki mijadala tofauti chini ya mada kuu ambayo ni “Hakuna kuachwa nyuma yeyote: Kushirikiana pamoja kuendeleza amani, maendeleo endelevu na heshima ya binadamu kwa vizazi vya sasa na vijavyo" (Leaving no one behind: Acting together for the advancement of peace, sustainable development and human dignity for present and future generations).
Mbali na kukuza diplomasia, ushiriki wa Tanzania kwenye mkutano huo unatoa fursa ya nchi kuwasilisha maslahi yake katika jukwaa la kimataifa, kujifunza kutokana na uzoefu wa nchi nyingine na pia kuwasilisha ajenda na mipango ya maendeleo ya nchi kwa jamii ya kimataifa.
(mwisho)
Napendekeza hata huyo Waziri Mkuu azuiliweAlikuwa amepanga kutembelea mikoa gani mkui ?
Chadema wako wapi hapo? Hivi huwa mnaelewa ni kwa kiasi gani MaRais wanakuwa na upinzani wa ndani?Chadema bhana 😂 kwan n mara ngapi anatuma watu kumuwakilisha? Kwamba h n mara ya kwanza?
Ety kapigwa marufuku kukanyaga nchi kadhaa 😂 Wabongo bhana 😂 kweli akili za kupewa ongeza na ya kwako.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, alitakiwa kuhudhuria kikao cha UN (UNGA) Lakini amemtuma Waziri Mkuu wa JMT MH. Kassim Majaliwa kumuwakilisha.
My take: Tayari Raisi keshaingia hofu kutokana na hotuba yake aliyoitoa juzi kwenye maazimisho ya miaka 60 ya kumbukizi ya Jeshi la Polisi? Maana tunafahamu sote Raisi wetu ni mtu anayependa sana kusafiri.
Kama ameshaanza kumtuma msaidizi wake kwenye majukumu aliyopaswa kihudhuria, Je safari za nchi za Magharibi atakuwa hahudhurii ?
Safari zake zitakuwa ni za South Korea, Turkey, Uarabuni na China……
Nawasilisha
Zaidi soma hapa.
WAZIRI MKUU KUMWAKILISHA RAIS SAMIA UNGA79
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Alhamisi, Septemba 19, 2024) kwenda Marekani ambako atamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79).
Mkutano huo unaotarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 20-26, 2024, utafanyika jijini New York, Marekani ambapo masuala ya kiuchumi, biashara, nishati, siasa, mazingira, afya, vijana na watoto yatajadiliwa. Masuala mengine ni ya maji, bahari, athari za hali ya hewa na haki za binadamu.
Katika mkutano huo ambao hufanyika kila mwaka, viongozi wa nchi mbalimbali wanatarajiwa kushiriki mijadala tofauti chini ya mada kuu ambayo ni “Hakuna kuachwa nyuma yeyote: Kushirikiana pamoja kuendeleza amani, maendeleo endelevu na heshima ya binadamu kwa vizazi vya sasa na vijavyo" (Leaving no one behind: Acting together for the advancement of peace, sustainable development and human dignity for present and future generations).
Mbali na kukuza diplomasia, ushiriki wa Tanzania kwenye mkutano huo unatoa fursa ya nchi kuwasilisha maslahi yake katika jukwaa la kimataifa, kujifunza kutokana na uzoefu wa nchi nyingine na pia kuwasilisha ajenda na mipango ya maendeleo ya nchi kwa jamii ya kimataifa.
(mwisho)
Diplomasia ina mawanda MAPANA.....Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, alitakiwa kuhudhuria kikao cha UN (UNGA) Lakini amemtuma Waziri Mkuu wa JMT MH. Kassim Majaliwa kumuwakilisha.
My take: Tayari Raisi keshaingia hofu kutokana na hotuba yake aliyoitoa juzi kwenye maazimisho ya miaka 60 ya kumbukizi ya Jeshi la Polisi? Maana tunafahamu sote Raisi wetu ni mtu anayependa sana kusafiri.
Kama ameshaanza kumtuma msaidizi wake kwenye majukumu aliyopaswa kihudhuria, Je safari za nchi za Magharibi atakuwa hahudhurii ?
Safari zake zitakuwa ni za South Korea, Turkey, Uarabuni na China……
Nawasilisha
Zaidi soma hapa.
WAZIRI MKUU KUMWAKILISHA RAIS SAMIA UNGA79
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Alhamisi, Septemba 19, 2024) kwenda Marekani ambako atamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79).
Mkutano huo unaotarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 20-26, 2024, utafanyika jijini New York, Marekani ambapo masuala ya kiuchumi, biashara, nishati, siasa, mazingira, afya, vijana na watoto yatajadiliwa. Masuala mengine ni ya maji, bahari, athari za hali ya hewa na haki za binadamu.
Katika mkutano huo ambao hufanyika kila mwaka, viongozi wa nchi mbalimbali wanatarajiwa kushiriki mijadala tofauti chini ya mada kuu ambayo ni “Hakuna kuachwa nyuma yeyote: Kushirikiana pamoja kuendeleza amani, maendeleo endelevu na heshima ya binadamu kwa vizazi vya sasa na vijavyo" (Leaving no one behind: Acting together for the advancement of peace, sustainable development and human dignity for present and future generations).
Mbali na kukuza diplomasia, ushiriki wa Tanzania kwenye mkutano huo unatoa fursa ya nchi kuwasilisha maslahi yake katika jukwaa la kimataifa, kujifunza kutokana na uzoefu wa nchi nyingine na pia kuwasilisha ajenda na mipango ya maendeleo ya nchi kwa jamii ya kimataifa.
(mwisho)
😍Aingiwe hofu kwa kitu gani?
Alishaenda akapokelewa na Mange kimambi, umesahau mkuu? 😀hivi hajawahi kwenda US?
Kwani speech anayoandaliwa rais ,siku hizi anakabidhiwa kwenye jukwaaIle speech alianda mbali sana , walioandaa ile , walitakiwa wawe wamefukuzwa
Vasco Dagama kanyea kambiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, alitakiwa kuhudhuria kikao cha UN (UNGA) Lakini amemtuma Waziri Mkuu wa JMT MH. Kassim Majaliwa kumuwakilisha.
My take: Tayari Raisi keshaingia hofu kutokana na hotuba yake aliyoitoa juzi kwenye maazimisho ya miaka 60 ya kumbukizi ya Jeshi la Polisi?
Maana tunafahamu sote Raisi wetu ni mtu anayependa sana kusafiri.
Kama ameshaanza kumtuma msaidizi wake kwenye majukumu aliyopaswa kihudhuria.
Je, safari za nchi za Magharibi atakuwa hahudhurii?
Safari zake zitakuwa ni za South Korea, Turkey, Uarabuni na Chini.
Nawasilisha
Zaidi soma hapa.
WAZIRI MKUU KUMWAKILISHA RAIS SAMIA UNGA79
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Alhamisi, Septemba 19, 2024) kwenda Marekani ambako atamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79).
Mkutano huo unaotarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 20-26, 2024, utafanyika jijini New York, Marekani ambapo masuala ya kiuchumi, biashara, nishati, siasa, mazingira, afya, vijana na watoto yatajadiliwa. Masuala mengine ni ya maji, bahari, athari za hali ya hewa na haki za binadamu.
Katika mkutano huo ambao hufanyika kila mwaka, viongozi wa nchi mbalimbali wanatarajiwa kushiriki mijadala tofauti chini ya mada kuu ambayo ni “Hakuna kuachwa nyuma yeyote: Kushirikiana pamoja kuendeleza amani, maendeleo endelevu na heshima ya binadamu kwa vizazi vya sasa na vijavyo" (Leaving no one behind: Acting together for the advancement of peace, sustainable development and human dignity for present and future generations).
Mbali na kukuza diplomasia, ushiriki wa Tanzania kwenye mkutano huo unatoa fursa ya nchi kuwasilisha maslahi yake katika jukwaa la kimataifa, kujifunza kutokana na uzoefu wa nchi nyingine na pia kuwasilisha ajenda na mipango ya maendeleo ya nchi kwa jamii ya kimataifa.
(mwisho)
KifaduroAmepatwa na tumbo la kuharaaaa...
Alikutana na "destination" yake....Hata Magufuli alikuwa anasema hivyo hivyo mpaka 2035 yuko wapi leo
Jidanganye na mwisho jipigie makofi....Vasco Dagama kanyea kambi