Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kusema leo siku ya 40 ya mwaka mpya anamaanisha nini?

Umenikumbusha
Ustaadh fylani mpenda ubwabwa na laini za mtandao wa tiGO aliyesema mwendakuzimu Ni zaidi ya mtume Sasa sijui alimaanisha mtume yupi.
Shda ni tumbo!! Njaa mbaya sana

Ipo siku utaskia wanaojiita watumishi na mashekhe wakisema Rais fulan ni Mungu kabisa
 
kasha zoea kusema uongo huyo jee umesahau alivopeleka pongezi za marehem msikitini
 
Naona kafika Febuary 10
 
Mzee ni muislam may be kichwani mwake ana mahesabu ya mwaka wa kiislam so akajikuta anaitamka.

Em masheikh wa JF waje waseme neno leo ni siku ya ngapi ktk mwezi wao.
 
Kazi Ngumu Imemshinda Yule Baba
Kama Hii
 
Waziri mkuu alikuwa anafanya utani wa kuwa Januari ina siku 120 ila naona joke imewapita juu ya kichwa wote.
 
Waziri mkuu ameachwa kwa masimango na michambo ya kufa mtu hata kuudhuria ila hafla amejilazimisha tu. Kusema kweli huyu mama kafeli sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…