mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,126
- 5,068
Shda ni tumbo!! Njaa mbaya sanaUmenikumbusha
Ustaadh fylani mpenda ubwabwa na laini za mtandao wa tiGO aliyesema mwendakuzimu Ni zaidi ya mtume Sasa sijui alimaanisha mtume yupi.
Ipo siku utaskia wanaojiita watumishi na mashekhe wakisema Rais fulan ni Mungu kabisa