Sijui ikijirudia tena huyu Waziri Mkuu atajificha wapi? Itaonekana kuwa yeye ndiye mchawi.
Hawezi kudannganya tena kwa mara ya pili, alishajifunza.
Unajua haya maswala kuna kuzungukwa pia ili uchafuliwe, pale inapotokea umesema tofauti na ukweli
 
safari ambayo haijaratibiwa na nchi na hata kurugenzi ya ikulu isitoe taarifa ya safari yake? ukoo wa panya as usualy.
 
Mwaka fulani katika Dola ya Rumi alitokea Kiongozi mmoja akawaongopea wananchi kuhusu hali Kiongozi fulani lakini baadae ikaja kujulikana taarifa aliyotoa haikuwa sahihi.

Kiongozi huyo katika Dola ya Rumi mwaka huu 2023 amekuja na taarifa ambayo inatiliwa shaka kutokana na kuwepo na sintofahamu fulani

Je, wananchi katika Dola ya Rumi wamuamini au la?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…