Wenye akili tunajua alitoa ile taarifa ili kupunguza taharuki tu.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Yaani CCM imewadharau watanzania kwa kiwango cha kusikitisha sana ! yaani wao wanadhani sisi hatuna akili kabisa yaani !
 
Wamuulize Herode kama wahamie Misri au wabakie Yudea!
 
Habarini Wadau,

Kwakweli nimemkumbuka sana Mzee wangu huyu kutoka Kigoma, nina muda mrefu sijamwona wala kumsikia katika tukio lolote lile

Sio kawaida hili,

Anayejua alipo, nahitaji kumsabahi Mzee wangu na Mtu wa nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…