Alistalikopaul
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 720
- 1,995
Kweli wameumbuka vibaya.hivi hata wewe ukiamua kupumzika hutaki mawasiliano na mtu kwa uamuzi wako mwenyewe majukumu ukawaachia wasaidizi wako nani atakutafuta acheni kiherehere yaani mnakuja kuumbuka vibaya nyau nyie
Kama una akili utakuwa umeelewa Sasa kwamba hao unaowaamini ndio mafundi wa kukulisha matango poriAsante Mungu mtukufu, serikali imeshasema sasa endeleeni kuongea upuuzi wenu, watu wanaoliombea mabaya taifa letu Mungu awasamehe
Sawa, nani muhuniRais hawezi kufanya kwa matakwa ya wahuni wachache wa mitandaoni kama kina Lisu
Ukipata muda pitia Tena hii postIla kwa uhalisia kama Rais angekuwa katika hali kama hiyo inayosemwa ni dhahiri kungekuwa na taharuki na isingewezekana kamwe kwa waziri Mkuu kuendelea na ziara kama hizo.
I BET THE PRESIDENT IS FULLY FIT AND FINE
Naive consciousness.Mwamb
Mwambie pia hivyo baba yako na mama yako Kama wapo hai. Pia mke wako na watoto wako Kama unao ...bill Shaka hai niliowataja wako tofauti na wewe mshenzi, an animal, mpumbavu, msaliti na mlamba miguu ya mabeberu..stupid guy..an idiot..
Wahuni eeh haya sasa.Rais hawezi kufanya kwa matakwa ya wahuni wachache wa mitandaoni kama kina Lisu
Tell your colleagues of the media in Kenya kwamba wanachofanya ni act of war... Kama hufahamu maana ya act of war waulize wenzio waelewaNaive consciousness...
Hili nalo nenoWaziri Mkuu anatakiwa ajiuzulu nafasi yake kwa kosa la kulidanganya Taifa kuwa Rais haumwi na ni mzima anaendelea na kazi zake. Kauli aliyoitoa tena akiwa "msikitini" ilikuwa ni "uongo" wa wazi na ni aibu kubwa sana siyo tu kwetu sisi Watanzania, bali hata kwa mbele ya jamii ya Kimataifa....
Bado yule mkuu wa mkoa Chalamila haujamalizana naye. Naye alitudanganya mchana mweupeWaziri Mkuu anatakiwa ajiuzulu nafasi yake kwa kosa la kulidanganya Taifa kuwa Rais haumwi na ni mzima anaendelea na kazi zake. Kauli aliyoitoa tena akiwa "msikitini" ilikuwa ni "uongo" wa wazi na ni aibu kubwa sana siyo tu kwetu sisi Watanzania, bali hata kwa mbele ya jamii ya Kimataifa...
Hahaha nimenyoosha mikoniTwitani
I dreamed of him today,he is fine,my fellow Tanzanians worry not .long live jpm
Rais atawashangaza wengi kama Yule Kim
Chadema wanafeli sana.
ACHENI MUDA UAMUE
Kazi ipo..Kuna watu wameumbuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]