Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

LB7 wanafiki
 
Majaliwa simlaumu kwa kauli yake, kwa utawala wa magufuli hata Mimi ningetangaza yupo fiti. Make tuseme bahati mbaya useme anaumwa na yeye hataki watu wajue anaumwa alafu ndo afufuke sasa na asikie ulimtangaza!!
 
Majaliwa simlaumu kwa kauli yake, kwa utawala wa magufuli hata Mimi ningetangaza yupo fiti. Make tuseme bahati mbaya useme anaumwa na yeye hataki watu wajue anaumwa alafu ndo afufuke sasa na asikie ulimtangaza!!
Tusimlaumu sana maana mkuu alishawajengea nidhamu ya woga(kazi kubwa ikiwa ni kuimba mapambio)sasa ujasiri wa kusema anaumwa afu akipona aje akunange unautoa wapi?
 
Hakusema hata kama rais anaumwa, alisema ni mzima anachapa kazi. Tumeambiwa alikuwa anaumwa muda mrefu tu.

Waziri Mkuu muongo.Tena kasema uongo msikitini sehemu takatifu kwa mujibu wa imani yake.
sijui ni mangapi mengine hawa watu wametudanganya? Tunawezaje saaa kuamini tena anachosema mtu huyu?
 
Tell your colleagues of the media in Kenya kwamba wanachofanya ni act of war... Kama hufahamu maana ya act of war waulize wenzio waelewa
Mimi ni mtanzania halisi acha kuhamisha hoja kitoto.
 
Hawafai kabisa kukaa kwenye ofisi za Umma,walificha habari za Mgonjwa kwa faida ya nani,ona sasa walivyoumbuka.

Huwezi ficha maradhi kifo kitakuumbua tu.
 
Hakusema hata kama rais anaumwa, alisema ni mzima anachapa kazi. Tumeambiwa alikuwa anaumwa muda mrefu tu.

Waziri Mkuu muongo.Tena kasema uongo msikitini sehemu takatifu kwa mujibu wa imani yake.
Nilishawahi Sikia kuwa alibadili dini sababu ya Mke...

Jagual alishawahi imba Wana siasa Vigeu geu
 
Ikibainika Kiongozi wa sirikalli amesema Uongo bila kumungunya Maneno Na akakubali kuwa alisema uongo hadharani awajibike kwa Mujibu wa sheria za katiba Mama yetu! ambayo inaheshimika sana...kifungu kile cha ...kinasema hivi nitasema kweli Daima fitina kwangu mwiko!! eee Mungu nisaidie....

Sasa muheshimiwa Waziri Mkuu Bwana Kassimu Majaliwa kasema uongo Ulio kinyume na katiba yetu ya JMT tumfanyeje? huyu kijana wa Mwalimu Kizo??? tunamtaka kwanza akili hadharani kwenye kamati ya nidhamu!!.. baadae tutajua cha kumfanya.

AU hataki kuwa Waziri jamani mnaonaje?? au anaandaliwa kuwa Rais 2025 kijanja!! ivo ata jiuzulu kwa hili, ili aonekane muungwana. baadae anarudi km Mwinyi alivorudi, Ngoja tusubiri tuone...

Kama ni hivo basi endelea na uwaziri mkuu!! utatubu bidaye!!! ila Mawaziri wengi sasa watapumua hakuna kufukuzwa kazi kama mbwa, ila kina Lugola, yule Mbunge professor wa Mugango ''Muongo ndo nitolee!! nafasi zimejaa!!

Huyu Jiwe jamani kaya taka hili li nchi hata waanzilishi walikuwa wanakanyaga kwa adabu sasa yeye mpwiii!!!,,,,.....Membe ya Gajuru!
 
Hawafai kabisa kukaa kwenye ofisi za Umma,walificha habari za Mgonjwa kwa faida ya nani,ona sasa walivyoumbuka.

Huwezi ficha maradhi kifo kitakuumbua tu.
Etiii habari nyepesi!! nyepesi!! zinasema Uleee!! Mkoba wao! wa kurogea watanzania waendelee kuwa mbumbu!! wasio jua tathmini ya maisha , waoga, waendelee kuwa vilaza! kupitia kuvuta moshi wa Mwenge kila mwaka ulikuwa haujulikani ulipo!

Sasa umepatikana, ndo maana unaona haya!! inasemekana marehehmu ali ng'a ng;ania kauficha uvunguni mwa kitanda alicholalia!!! unaambiwa ilikuwa kazi kweli kuutoa japo alikuwa hoi!! kuamini haya maneno yangu, kuwa watanzania Wamedanganywa na hawata fanya kitu!! tizama ...

Ukipita Moshi ule wa Mwenge kwa hela zenu mlizo toa wenyewe basi nyie wenyewe vichwa vyenu na akili zenu mnaweka kwenye makwapa yenu, hakuna kuhoji chochote!!! mpaka hao walio waroga wafe!!

Mkitaka amani Tanzania, na ili muwe na akili, za uvumbuzi ibeni ule Mwenge!! hasa mbio zinapo karibia kuisha, hapo mtaondoka na Hirizi zote mule!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…