Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ya watu wengi wa CCM (sijui shule nayo ni sababu )yaani hayajui kureason kila kitu inakubali tuMuwe mnaweka akina ya maneno
LB7 wanafikiRais John Joseph Pombe Magufuli piga kazi kuwaletea na kuwajengea misingi imara ya kimaendeleo Watanzania nilichogundua Watanzania wanampenda sana Rais wao kiasi cha kutokumuona wala kumsikia ndani ya wiki kila mmoja amekuwa hana raha kwa kuwa wameshazoea kumsikia akiwapa maagizo wateule wake na kutatua kero za wananchi.
Kwa dalili hizi ni kipimo cha mapenzi kilichopitiliza najua wenye account fake wakiwa peke yao au kwenye vikao vyao wanazungumzia muziki mnene wa mtetezi wa wanyonge.
Tuendelee kumuombea kwa Mungu raisi wetu azidi kuwa na afya njema na amuepushe na wenye husuda na roho mbaya ili aweze kutekeleza yale yote aliyo ahidi kipindi cha kampeni kupitia ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Raisi wetu wananchi wamekumiss na wanakupenda sana muda utakaonekana ama hakika watashangilia kama kumefungwa goli uwanja wa taifa!
Hapa kazi tu, tusisahau kufuata muongozo wa wataalamu wa afya Covid19 ipo!
Labda alizidiwa ghafla ama hawakutarajia kama atakufaWameficha habari za ugonjwa wa Magufuli kwa Watanzania.
Ni viongozi waongowaongo.
Tusimlaumu sana maana mkuu alishawajengea nidhamu ya woga(kazi kubwa ikiwa ni kuimba mapambio)sasa ujasiri wa kusema anaumwa afu akipona aje akunange unautoa wapi?Majaliwa simlaumu kwa kauli yake, kwa utawala wa magufuli hata Mimi ningetangaza yupo fiti. Make tuseme bahati mbaya useme anaumwa na yeye hataki watu wajue anaumwa alafu ndo afufuke sasa na asikie ulimtangaza!!
Hakusema hata kama rais anaumwa, alisema ni mzima anachapa kazi. Tumeambiwa alikuwa anaumwa muda mrefu tu.Labda alizidiwa ghafla ama hawakutarajia kama atakufa
na tatu: Akitoa ahadi haitimiziIla mimi Majaliwa sina imani naye kupewa majukumu ya kuongoza UMMA kama PM,VP kwasababu mnafiki!
Muhammad S.A.W alisema..
"Mnafiki ana tabia tatu, akiongea husema uongo, akiaminiwa hufanya hiyana"..... na sifa nyingine nimesahau
Hawana Heshima na Mungu kabisa si watumie majukwaa yao tu kusema uongo siyo kwenye nyumba za IBADAMtu mzima anaenda kuongea uwongo msikitini
Akili anakuwanazo mtu mmoja... akikohoa, basi wote wanakohoaTatizo ya watu wengi wa CCM (sijui shule nayo ni sababu )yaani hayajui kureason kila kitu inakubali tu
sijui ni mangapi mengine hawa watu wametudanganya? Tunawezaje saaa kuamini tena anachosema mtu huyu?Hakusema hata kama rais anaumwa, alisema ni mzima anachapa kazi. Tumeambiwa alikuwa anaumwa muda mrefu tu.
Waziri Mkuu muongo.Tena kasema uongo msikitini sehemu takatifu kwa mujibu wa imani yake.
Itabaki kama ilivyo anything can happen bado mkulu hajazikwa....usituchezee sisi wenye imaniTuseme hii reply yako hujaiona ili uifute au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itabaki kama ilivyo anything can happen bado mkulu hajazikwa....usituchezee sisi wenye imani
Mimi ni mtanzania halisi acha kuhamisha hoja kitoto.Tell your colleagues of the media in Kenya kwamba wanachofanya ni act of war... Kama hufahamu maana ya act of war waulize wenzio waelewa
Nilishawahi Sikia kuwa alibadili dini sababu ya Mke...Hakusema hata kama rais anaumwa, alisema ni mzima anachapa kazi. Tumeambiwa alikuwa anaumwa muda mrefu tu.
Waziri Mkuu muongo.Tena kasema uongo msikitini sehemu takatifu kwa mujibu wa imani yake.
Etiii habari nyepesi!! nyepesi!! zinasema Uleee!! Mkoba wao! wa kurogea watanzania waendelee kuwa mbumbu!! wasio jua tathmini ya maisha , waoga, waendelee kuwa vilaza! kupitia kuvuta moshi wa Mwenge kila mwaka ulikuwa haujulikani ulipo!Hawafai kabisa kukaa kwenye ofisi za Umma,walificha habari za Mgonjwa kwa faida ya nani,ona sasa walivyoumbuka.
Huwezi ficha maradhi kifo kitakuumbua tu.
Haya anza mbio sasa, tukutane Chato kwenye mazishi.Safi sana kwa taarifa nzuri. Kuna watu watakimbia humu