Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?


Kabisa mkuu point hii
 
Mnaumbuka muda si mrefu, sasa ushasema likizo au mapumziko siku 28 sasa hata 20 hazijafika unakuja kuharisha hapa hayo ni mahaba mazito mliyonayo wapinzani kwa JPM.

We jamaaa
 
Kama hauna imani hata nikikuambia utasadiki?
Kuna mambo hayahitaji imani ili kusadiki.
Mtu akishakufa na akathibitishwa na daktari kwamba kweli amekufa, unahitaji imani gani tena ili usadiki kuwa kafa?
 
MATAGA wanasemaji tena, mtu anadanganya watu akiwa msikitini
 
Kuna mambo hayahitaji imani ili kusadiki.
Mtu akishakufa na akathibitishwa na daktari kwamba kweli amekufa, unahitaji imani gani tena ili usadiki kuwa kafa?
Ah mi nilifikiri kusadiki kuhusu kumaliza kazi ama bado.

Hilo la kufa halina mjadala.
 
Wewe ni MJINGA Rais ni Mali ya Nchi sio kikundi cha watu hapo Lumumba...anaendesha maisha yake kwa Kodi zetu ni Amir Jeshi mkuu lazima tujue alipo kama Mgonjwa hawezi kuendelea na kazi. Mola aepushe shari?
 
Samia Suluhu aunde serikali ya umoja wa kitaifa, vinginevyo hali hii itazidi kuwa mbaya sana, mioyo ya watu wengi inavuja damu.

Hapo umeteleza! Ngoja 2025 itakapofika, hakuna dezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…