Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ni halali yakoeti eeee kwakweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni halali yakoeti eeee kwakweli
Akikataa mitano ya nyongeza tunaandamana
Kama ambavyo JPM alivyokuwa halali mpaka akawatuma watu kummaliza, uzuri Lissu hataki dhambi ya unafiki anafurahia madhila ya mtesi wake. Ngoma droo @ Mshana junior aliwahi andika ' Kama huwezi samehe, lipa kisasi'Lisu halali huko aliko ana muwaza JPM tu
Najua hafai cha ajabu hata huo Uwaziri hatosheki ndio maana anaruruka kama Bisi sufuriani.Yule hafai kwa cheo chochote
Ndio maana wenye akili tulishasema, Lissu aachwe afanya atakacho ikiwemo hiki anachofanya sasa hivi maana ni sehemu ya tiba kwake.Kama ambavyo JPM alivyokuwa halali mpaka akawatuma watu kummaliza, uzuri Lissu hataki dhambi ya unafiki anafurahia madhila ya mtesi wake. Ngoma droo @ Mshana junior aliwahi andika ' Kama huwezi samehe, lipa kisasi'
Sawa mkuuNajua hafai cha ajabu hata huo Uwaziri hatosheki ndio maana anaruruka kama Bisi sufuriani.
Ile ya missing? Amepotea age 61? Au ipi hiyoKuna picha natamani kuiweka hapa ila nitaishia kupigwa ban ya nguvu. Wabongo wamepinda tena wamepinda sana hahahahahaha
Ile ya missing? Amepotea age 61?au ipi hiyo
Ulitaka nani labda!? Sio vibaya tukipata maoni yako.Najua hafai cha ajabu hata huo Uwaziri hatosheki ndio maana anaruruka kama Bisi sufuriani.
Ngoja niende...mie nacheka tu jamanHii ni nyingine acha tu nicheze nayo mbali ila kule Twitter wameshaitundika.
Ngoja niende...mie nacheka tu jaman
Nimeuliza kwa waziri mmoja mkuu yuko wapi, kanifokea hatari... Hahahaha maisha yanaenda kasi sana'.... Sio kwa kufokewa kule.... Hahaha ety ni.... AnguUkiiona utaijua tu [emoji12][emoji12][emoji12]
Umeshindwa kuficha ujinga wako hapoHivi mtu asipoonekana maana yake anaumwa.
Katiba inasema rais aonekane Mara ngapi kwenye public au apige Simu redioni Mara ngapi ili muda ukipita tuanze kumtafuta na kutaka aonekane?
Mzee tumia akili kidogo tu. Mtu anaumwa kwa sababu twita imesema au kwa sababu hajaonekana hadharani?
Hauna point hata moja kasome vizuri katiba inasemaje kuhusu kiongozi wa nchi kutojulikana AlikoMzee tumia akili kidogo tu. Mtu anaumwa kwa sababu twita imesema au kwa sababu hajaonekana hadharani?
Kesho tukiambiwa twitani nchi imeuzwa utaanza kuandamana unataka mgao.
Tuliza boli piga kazi, tuache Majungu na kuishi kwa hisia.
Ukweli unahitaji mtu mwenye subira sio mwepesi kuhemshwa na soga za mitandaoni
Nisome ya nini kama nimeshaambiwa yuko Ikulu anaendelea na kazi zake.Hauna point ata moja kasome vizuri katiba inasemaje kuhusu kiongozi wa nchi kutojulikana Aliko
Bado huwa unasikiliza habari kutoka mainstream media.Nisome ya nini kama nomeshaambiwa yuko ikulu anaendelea na kazi zake.
Nani amekuambia hajulikani aliko