Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Kama ambavyo JPM alivyokuwa halali mpaka akawatuma watu kummaliza, uzuri Lissu hataki dhambi ya unafiki anafurahia madhila ya mtesi wake. Ngoma droo @ Mshana junior aliwahi andika ' Kama huwezi samehe, lipa kisasi'
Ndio maana wenye akili tulishasema, Lissu aachwe afanya atakacho ikiwemo hiki anachofanya sasa hivi maana ni sehemu ya tiba kwake.
 
Umeshindwa kuficha ujinga wako hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee tumia akili kidogo tu. Mtu anaumwa kwa sababu twita imesema au kwa sababu hajaonekana hadharani?

Kesho tukiambiwa twitani nchi imeuzwa utaanza kuandamana unataka mgao.

Tuliza boli piga kazi, tuache Majungu na kuishi kwa hisia.

Ukweli unahitaji mtu mwenye subira sio mwepesi kuhemshwa na soga za mitandaoni
 
Hauna point hata moja kasome vizuri katiba inasemaje kuhusu kiongozi wa nchi kutojulikana Aliko
 
Hauna point ata moja kasome vizuri katiba inasemaje kuhusu kiongozi wa nchi kutojulikana Aliko
Nisome ya nini kama nimeshaambiwa yuko Ikulu anaendelea na kazi zake.

Nani amekuambia hajulikani aliko.
 
Nasubiri kuona watu wakirudi hapa kuramba matapishi yao, ndio maana sipondi thread ya mtu na ni bora kukaa kimya kwani mengi ninayofahamu hayafahamiki na wengi lakini pia wengi wanafahamu mengi ambayo nami siyafahamu.
[emoji2363][emoji2363][emoji2363]
 
Jana usiku mama Suluhu Hassan alitangaza msiba kwa masikitiko makubwa na kuueleza umma kuwa Mh. Alilazwa tangu tar.6 ila mh. Majaliwa aliuambia umma tar 12 kuwa Mh. yupo ofisini anachapa kazi.

Wakati mwingine tunashindwa kuaminiana kwa maneno yanayotolewa na viongozi wetu.

It's time to wakeup
 
Back
Top Bottom