peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Poa tunakuja View attachment 2013952
Upo za siku? nilichezea ban wiki na zaidi nilimisbehave Kwa mara ya Kwanza tangu nijiunge.
Umeme upo imara na unaendelea kuchapa kazi🐒Mikoani Hakuna umeme tangu asubuhi , kauli za majaliwa ….,,,
Umeme upo imara na unaendelea kuchapa kazi🐒
Blaa blaa blaa tu lakini labda kweli kwake hakatiwi umeme yuko sawa tu hata barabara anasafishiwa tu hakuna foleni. Nchi ina vitu vingi tunaongea sana lakini uhalisia sasa fuatilia hayo ya uwekezaji kamasi zitakutoka. Kuna vijisera vya kijinga sana humo huwezi kumvuta mwekezaji halafu akaweka mamilioni hapo hapo ukamtaka alipie residence permit bei kubwa kuliko hata huko Dubai.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameendelea kutoa wito kwa wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwa sababu Tanzania ina ardhi, barabara na umeme wa kutosha.
Kama aliweza kuwadanganya watanzania tena akiwa kwenye nyumba ya ibada kuwa Rais ni mzima na anachapa kazi wakati akijua kabisa Rais alikuwa kwenye dakika zake za mwisho za kupigania uhai wala usishangae kwa hiloWaziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameendelea kutoa wito kwa wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwa sababu Tanzania ina ardhi, barabara na umeme wa kutosha.
Upo za siku? nilichezea ban wiki na zaidi nilimisbehave Kwa mara ya Kwanza tangu nijiunge.
According to the World Bank's Ease of Doing Business 2020, Tanzania ranks below regional competitors with lower incomes per capita in terms of ease of doing business (Tanzania ranks 141 out of 190, Kenya 56, Uganda 116 and Rwanda 38).Blaa blaa blaa tu lakini labda kweli kwake hakatiwi umeme yuko sawa tu hata barabara anasafishiwa tu hakuna foleni. Nchi ina vitu vingi tunaongea sana lakini uhalisia sasa fuatilia hayo ya uwekezaji kamasi zitakutoka...
Mkuu embu rekebisha hapo, yale maneno ya uongo wakati Majaliwa anayatoa tayari jiwe alikuwa ameshakufa siku kadhaa na tayari alishaanza kuoza huku tukifichwa."Rais yupo anachapa kazi" mbaya zaid aliongea maneno haya akiwa msikitini kumbe mtu yuko mahutihuti anapumulia mashine alafu eti leo uamini anachokiongea thubutu!!!
Mkuu labda akili yangu hainipi taarifa sahihi, Ila naona Kama tuna pm 3, wa Kwanza yupo bungeni, mwingine yupo kule anasema maji yazuiwe yasichepushwe halafu Kuna hyu hapa, Sasa kiukwel ninavulugikiwa kabisa,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameendelea kutoa wito kwa wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwa sababu Tanzania ina ardhi, barabara na umeme wa kutosha...
Anayo haki kusema, hata Magufuli alipotoweka alisema yupo mzima. Nchi joto limepanda, umeme ata wa kuwashia fan hakuna. Nilipo jana ulikatika saa 12 jioni ukarudi saa 5. Leo umekati mara mbili na haujarudi. Maji tangu jana hayatoki, umeme hauna nguvu kuzungusha mitambo ya maji. PM hoyee!Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameendelea kutoa wito kwa wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwa sababu Tanzania ina ardhi, barabara na umeme wa kutosha.
Jioni cartoon, utashikwa.Poa tunakuja View attachment 2013952
Umeme bado ni tatizo kubwa tukiacha matamko ya kisiasa.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameendelea kutoa wito kwa wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwa sababu Tanzania ina ardhi, barabara na umeme wa kutosha...
Kweli, kuongopa ni kazi ngumu.Ulitaka akwambie Rais JPM keshakufa?, vaa viatu vyake uujue ugumu wa kazi anayoifanya.