Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Wawekezaji njooni tuna umeme wa kutosha

Hao wawezekaji si wana balozi zao hapa na huwa wanakuja wenyewe kuona hali halisi kabla ya kusaini mikataba?
 
Sasa huyu mzee inabidi kiungwana atuombe msamaha....ni kwamba anakuwa hajui au anatumwa kupima upepo ? 🀣
 
Huyu waziri mkuu ndiyo haaminiki kabisa alitudanganya Magufuli mzima kesho yake tutakabgaziwa hayati
 
Huyu mzee nae janaba la ccm la kuongea uongo bila aibu lishamvaa.
 
Kwa issue hii ya umeme unawezaje kumueleza mwekezaji aje huku Tanzania kuwekeza na umeme wa kwikwi?

Namwomba arudi tu nyumbani hakuna la maana analofanya huko Singapore na anapataje ujasiri kuelezea uchumi kwenye mkutano na huku nchi yako hakuna uchumi yaaani kifupi mtu hawezi kukusikiliza Jambo ambalo wewe limekushinda
 

Labda kama angesikia posho na per diem zote atapewa tu.

Si unajua tuko kimaslahi binafsi zaidi 😁😁.
 
Katelephone ni muongo muongo sana huyu mbaba,
Yaani huyo Mzee hua anahutubia kinyume nyume
Mfano akisema mtu mzima wa afya ujue kafa,
Akisema maji yapo ya kutosha ujue hapo ni jangwa!
Kasimu! kasimu!
β˜ŽοΈπŸ“žπŸ“±πŸ“²
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…