rallphryder
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 3,630
- 1,444
Migogoro isipomalizwa atamfanya nini?Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ccm , Paulo Makonda , ametoa muda kama ule iliyopewa Tanesco wa miezi 6 kwa Kasimu Majaliwa , ili ahakikishe migogoro ya Ardhi inamalizika Tanzania .
Bado haijajulikana mamlaka hasa ya katibu huyo , wala sababu za kumuandama Waziri Mkuu badala ya Waziiri wa Ardhi .
Bali tunaona huko aendako atampa muda pia Dr Hangaya ili kuhakikisha mafuta yanashuka bei , ngoja tusubiri
View attachment 2800413
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app