Waziri Mkuu kikaangoni, apewa miezi 6 tu! Vinginevyo.....
Hapa ndipo ninapoonaga UPUMBAVU WA VIONGOZI WA NCHI HII. WANATENGENEZA TATIZO ALAFU ANAKUJA MTU NA UJINGA WANAJIFANYA WANALITATUA. ALIYE KUWA WAZIRI WA ARDHI MH LUKUVI ALISHAMALIZA UPUUZI WA MIGOGORO YA ARDHI NCHI HII. WAPUMBAVU WAKAMTOA SABABU YA KUMTOA NI NINI KAMA SI UPUMBAVU WA WAPUMBAVU?
Mkuu,

Waafrika hasa watanzania wana Upumbavu wa milele.

Uafrika hasa utanzania ni laana.
 
Mwaka huu tutawachezesha ngoma yetu mpaka mkome. Mtakatika ngoma ya CCM mpaka mpige magoti maana ninyi akili zenu ni kama manyumbu tu ,ndio maana hamjitambuagi na kubakia mnashabikia habari za CCM tu huku kibanda Chenu kikiungua kwa migogoro tu . Sasa Makonda ndio dawa yenu maana mtaendelea kuicheza ngoma yake mpaka mama Samia anapoapishwa kwa muhula wa pili kuongoza Taifa letu.

Nyie Endeleeni kukatika tu.
Wewe kweli hauna akili, unashabikia Makonda kumwamrisha waziri mkuu na kuwaita wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM vyura. Ndicho Samia alichomtuma?
 
CCM took a major risk with a loose cannon like him!

The PM doesn’t report to him. So who is he to be running his mouth issuing ultimatums to people he has no authority over?
Nyamaza kimya! Acha tutambe! PM ni mwanachama wetu bila CCM hana uwaziri mkuu. Lazima kila kiongozo awajibike kweti CCM kama hataki aache uongozi. Jino kwa jino!
 
Nyamaza kimya! Acha tutambe! PM ni mwanachama wetu bila CCM hana uwaziri mkuu. Lazima kila kiongozo awajibike kweti CCM kama hataki aache uongozi. Jino kwa jino!
Anao uWaziri Mkuu kwa vile anaidhinishwa na Bunge. Na ukimtoa Waziri Mkuu maana yake unavunja Baraza la Mawaziri kwa mujibu wa Katiba ya JMT
 
Mwaka huu tutawachezesha ngoma yetu mpaka mkome. Mtakatika ngoma ya CCM mpaka mpige magoti maana ninyi akili zenu ni kama manyumbu tu ,ndio maana hamjitambuagi na kubakia mnashabikia habari za CCM tu huku kibanda Chenu kikiungua kwa migogoro tu . Sasa Makonda ndio dawa yenu maana mtaendelea kuicheza ngoma yake mpaka mama Samia anapoapishwa kwa muhula wa pili kuongoza Taifa letu.

Nyie Endeleeni kukatika tu.
Mkuu na kuweka no za sim kote kwenye machapisho yako hujalamba hata teuzi?[emoji2][emoji2][emoji3]
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM , Paulo Makonda , ametoa muda kama ule iliyopewa TANESCO wa miezi 6 kwa Kassim Majaliwa , ili ahakikishe migogoro ya Ardhi inamalizika Tanzania .

Bado haijajulikana Mamlaka hasa ya Katibu huyo, wala sababu za kumuandama Waziri Mkuu badala ya Waziiri wa Ardhi .

Bali tunaona huko aendako atampa muda pia Dr Hangaya ili kuhakikisha mafuta yanashuka bei, ngoja tusubiri

View attachment 2800984

Ila we jamaa[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mwaka huu tutawachezesha ngoma yetu mpaka mkome. Mtakatika ngoma ya CCM mpaka mpige magoti maana ninyi akili zenu ni kama manyumbu tu ,ndio maana hamjitambuagi na kubakia mnashabikia habari za CCM tu huku kibanda Chenu kikiungua kwa migogoro tu . Sasa Makonda ndio dawa yenu maana mtaendelea kuicheza ngoma yake mpaka mama Samia anapoapishwa kwa muhula wa pili kuongoza Taifa letu.

Nyie Endeleeni kukatika tu.

Mkuu..
Umesahau kuandika namba ya simu leo.
 
Shida ya Majaliwa ni kuishi kikondoo bila kuonyesha naye power zake. Alikuwa na uwezo kumvimbia hata huyo aliyemteua Bashite kuwa kijana wako hana adabu maana kwanza Majaliwa ana mvuto kuliko huyo Samia na akionyesha tuu kupishana naye Samia anaweza kuathirika na Uzanzibar wake.
Shida wengi ccm wanapenda kulinda matumbo tuu na kuishi kwa woga na kujipendekeza
Hajiamini
 
Mbona mapema sana kuanza kupaniki.kwa Makonda lazima mtapike damu .akiongea tu lazima kamati kuu nzima ya CHADEMA ipoteane.makonda mmoja ni sawa na CHADEMA nzima na vyama vyote vya upinzani hapa nchini na bado hamumuwezi.
Unapakatwa [emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516]
 
Back
Top Bottom