Waziri Mkuu kikaangoni, apewa miezi 6 tu! Vinginevyo.....
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ccm , Paulo Makonda , ametoa muda kama ule iliyopewa Tanesco wa miezi 6 kwa Kasimu Majaliwa , ili ahakikishe migogoro ya Ardhi inamalizika Tanzania .

Bado haijajulikana mamlaka hasa ya katibu huyo , wala sababu za kumuandama Waziri Mkuu badala ya Waziiri wa Ardhi .

Bali tunaona huko aendako atampa muda pia Dr Hangaya ili kuhakikisha mafuta yanashuka bei , ngoja tusubiri

View attachment 2800413
Arudishwe tu Lukuvi Ardhi na Kalemani Nishati baas.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ccm , Paulo Makonda , ametoa muda kama ule iliyopewa Tanesco wa miezi 6 kwa Kasimu Majaliwa , ili ahakikishe migogoro ya Ardhi inamalizika Tanzania .

Bado haijajulikana mamlaka hasa ya katibu huyo , wala sababu za kumuandama Waziri Mkuu badala ya Waziiri wa Ardhi .

Bali tunaona huko aendako atampa muda pia Dr Hangaya ili kuhakikisha mafuta yanashuka bei , ngoja tusubiri

View attachment 2800413
Ulifikiri serikali inafata sera zipi?
 
Chadema kaishindwa magufuri na huyo makonda wake mpaka kwenda kutaka kumuua lisu. Itakuwa huyo upuuzi unaongea wewe.
Machadema yote kwa sasa yamegeuka na kuwa maafisa habari wa Makonda ,yamesahau habari zao na kugeukia habari za Makonda kuripoti kila tukio na kila anachozungumza makonda.kweli CHADEMA ni manyumbu.
 
Mwaka huu tutawachezesha ngoma yetu mpaka mkome. Mtakatika ngoma ya CCM mpaka mpige magoti maana ninyi akili zenu ni kama manyumbu tu ,ndio maana hamjitambuagi na kubakia mnashabikia habari za CCM tu huku kibanda Chenu kikiungua kwa migogoro tu . Sasa Makonda ndio dawa yenu maana mtaendelea kuicheza ngoma yake mpaka mama Samia anapoapishwa kwa muhula wa pili kuongoza Taifa letu.

Nyie Endeleeni kukatika tu.
Vipi umeshavuna katani zako?
Nilikuomba uniwekee milingoti nami nijenge kichanja ili
nihifadhie
mazao yangu au umesahau?
 
Jamani Chama kikikaa kimya tunasema kinawalea magoigoi. Kikisema kikaze, inaonekana tena ni kukosa heshima! Wacheni utekelezaji wa ilani ya Chama usimamiwe kiuwazi na kwa ukali ili mambo yaende.

Pia Makonda hawezi kuongea kitu tu kwa sasa bila alignment ya maboss zake wote. Sasa hakuna kuoneana aibu. Ilani ya chama lazima isimamiwe.
 
Hapa ndipo ninapoonaga UPUMBAVU WA VIONGOZI WA NCHI HII. WANATENGENEZA TATIZO ALAFU ANAKUJA MTU NA UJINGA WANAJIFANYA WANALITATUA. ALIYE KUWA WAZIRI WA ARDHI MH LUKUVI ALISHAMALIZA UPUUZI WA MIGOGORO YA ARDHI NCHI HII. WAPUMBAVU WAKAMTOA SABABU YA KUMTOA NI NINI KAMA SI UPUMBAVU WA WAPUMBAVU?
Hivi rizmoko bado ni naibu Waziri kwenye hiyo wizara?Manake wakati wauza ngada wanatajwa kipindi cha Jiwe na yeye alikuwepo na leo kakumbushia🤔
 
Utakuwa umelogwa sana
Saizi machadema mmeshasahau hata habari za lichama lenu na habari za helikopta .mmegeuka maripota wa makonda.hata aliko mbowe yupo Bize kufuatilia habari za makonda.kweli Makonda ni mwamba kweli kweli.akiongea tu lazima chadema wote wakimbiaji mpaka mnapitiliza nyumba zenu.hapo bado hajaanza safari ya kuchanja mikoani.kwahakika lazima mpoteane mwaka huu
 
Jamani Chama kikikaa kimya tunasema kinawalea magoigoi. Kikisema kikaze, inaonekana tena ni kukosa heshima! Wacheni utekelezaji wa ilani ya Chama usimamiwe kiuwazi na kwa ukali ili mambo yaende.

Pia Makonda hawezi kuongea kitu tu kwa sasa bila alignment ya maboss zake wote. Sasa hakuna kuoneana aibu. Ilani ya chama lazima isimamiwe.
Nitafute kule kwa Sadifa au umesahau?
 
CCM took a major risk with a loose cannon like him!

The PM doesn’t report to him. So who is he to be running his mouth issuing ultimatums to people he has no authority over?
ccm are so clever... the intent of what's happening now is not other than to confuse wananchi... in the end they gonna sit around the table to settle dues. Kinana and Nape successfully used same tricks!
 
Back
Top Bottom