Waziri Mkuu kikaangoni, apewa miezi 6 tu! Vinginevyo.....
SIASA za TANZANIA zilipooza sana kash kash kama hizi ndio zinahitajika Tanzania,Kuogopana mwisho Chalinze hapa ni kubwatuka tu Chama ndio kinataka Tunatekeleza ILANI aliyeniteua na anitengue ki ufupi saivi mambo ni Sweet sweet😂
 
Chama kilimtuma lini?. Chama kinatuma watu waropoke mitaani. Waziri Mkuu apewe heshima yake.
hapana acha kiwakeeee...yani makondaa buruzaaa haoo maana si wameamua kutukomesha watanzania acha sasa waonje joto ya jiwee yani hizi dharau sio mchezo.
 
𝙷𝚄𝚈𝚄 𝙽𝙾 𝙼𝙺𝚄𝚁𝚄𝙿𝚄𝙺𝙰𝙹𝙸 𝙷𝙰𝙹𝙹𝙸 𝙼𝙰𝙹𝚄𝙺𝚄𝙼𝚄 𝚈𝙰𝙺𝙴....𝙼𝙰𝙼𝙱𝙾 𝙼𝙴𝙽𝙶𝙸𝙽𝙴 𝙽𝙸 𝙰𝙸𝙱𝚄 𝙺𝚆𝙰 𝙲𝙷𝙰𝙼𝙰 𝙼𝙰 𝚂𝙴𝚁𝙸𝙺𝙰𝙻𝙸..
Ana maelekezo yote na baraka kwa mama we endelea kupiga domo
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM , Paulo Makonda , ametoa muda kama ule iliyopewa TANESCO wa miezi 6 kwa Kassim Majaliwa , ili ahakikishe migogoro ya Ardhi inamalizika Tanzania .

Bado haijajulikana Mamlaka hasa ya Katibu huyo, wala sababu za kumuandama Waziri Mkuu badala ya Waziiri wa Ardhi .

Bali tunaona huko aendako atampa muda pia Dr Hangaya ili kuhakikisha mafuta yanashuka bei, ngoja tusubiri

View attachment 2800984
Yaani na Chadema mmeacha chama chenu mmehamia kwa Makonda? Mmeshapoteana kweli Makonda hajakosea kuwaita watoa taarifa hamna jambo lenu la kushughulikia.
 
Yaani na Chadema mmeacha chama chenu mmehamia kwa Makonda? Mmeshapoteana kweli Makonda hajakosea kuwaita watoa taarifa hamna jambo lenu la kushughulikia.

CHADEMA ipi?. Nani hapa ana kadi ya CHADEMA?. Yani mtu kimkosoa Makonda kwa kumshushia heshima Makonda amekuwa CHADEMA. CHADEMA itaendelea kuwepo akina Makonda wataiacha.
 
Back
Top Bottom