Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Amesema kwa niaba ya chama acha kupotosha na nidhamu za yoga,Kwa Sasa Makonda ndio Rais anaamrisha kila mmoja kuanzia Waziri Mkuu mpaka wastaafu akina Mzee Warioba.
PM ANASIMAMIWA NA CHAMA NA HUYO NI MSEMAJI WA CHAMA
ACHENI VIONGOZI WAWAJIBISHWE ,
Hamjui viongozi Ni watumishi wa wananchi