rallphryder
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 3,630
- 1,444
Migogoro isipomalizwa atamfanya nini?Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ccm , Paulo Makonda , ametoa muda kama ule iliyopewa Tanesco wa miezi 6 kwa Kasimu Majaliwa , ili ahakikishe migogoro ya Ardhi inamalizika Tanzania .
Bado haijajulikana mamlaka hasa ya katibu huyo , wala sababu za kumuandama Waziri Mkuu badala ya Waziiri wa Ardhi .
Bali tunaona huko aendako atampa muda pia Dr Hangaya ili kuhakikisha mafuta yanashuka bei , ngoja tusubiri
View attachment 2800413
Mke wa makamba Sr . Full class 7.Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ccm , Paulo Makonda , ametoa muda kama ule iliyopewa Tanesco wa miezi 6 kwa Kasimu Majaliwa , ili ahakikishe migogoro ya Ardhi inamalizika Tanzania .
Bado haijajulikana mamlaka hasa ya katibu huyo , wala sababu za kumuandama Waziri Mkuu badala ya Waziiri wa Ardhi .
Bali tunaona huko aendako atampa muda pia Dr Hangaya ili kuhakikisha mafuta yanashuka bei , ngoja tusubiri
View attachment 2800413
Joka la mdimuUngesema ni JIDU LAMAMBASI😂
Kama kweli sasa hii kali na haijawai kutokea. Labda ni maelekezo toka kwa m/kiti, yaleyale ya jiwe yamerudi. Ngoja watifuane kwanza.Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ccm , Paulo Makonda , ametoa muda kama ule iliyopewa Tanesco wa miezi 6 kwa Kasimu Majaliwa , ili ahakikishe migogoro ya Ardhi inamalizika Tanzania .
Bado haijajulikana mamlaka hasa ya katibu huyo , wala sababu za kumuandama Waziri Mkuu badala ya Waziiri wa Ardhi .
Bali tunaona huko aendako atampa muda pia Dr Hangaya ili kuhakikisha mafuta yanashuka bei , ngoja tusubiri
View attachment 2800413
Kishindo cha Daudi...Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ccm , Paulo Makonda , ametoa muda kama ule iliyopewa Tanesco wa miezi 6 kwa Kasimu Majaliwa , ili ahakikishe migogoro ya Ardhi inamalizika Tanzania .
Bado haijajulikana mamlaka hasa ya katibu huyo , wala sababu za kumuandama Waziri Mkuu badala ya Waziiri wa Ardhi .
Bali tunaona huko aendako atampa muda pia Dr Hangaya ili kuhakikisha mafuta yanashuka bei , ngoja tusubiri
View attachment 2800413
Baiskeli ya mti😂Bashite Jitu la Mtumba.
Hii ndio Point, huyu jamaa atawavuruga na watavurugika,Ngoja wavuruge vuruge safi kabisa
Aiseeee !!!
Mawazo ya kipuuzi na makonda wako unazungumza dawa? Dawa ya Nani? Mh LUKUVI aliondoa huu Upumbavu aliokuja nao makonda mkamtoa. Leo unakata miono unazungumza migogoro ya ardhi uoni msio na Akili ya kufikili ndiyo mnaona anafanya Jambo la maana kumbe Ni kurudia Upumbavu ule ule mliozoea kuufanyaMwaka huu tutawachezesha ngoma yetu mpaka mkome. Mtakatika ngoma ya CCM mpaka mpige magoti maana ninyi akili zenu ni kama manyumbu tu ,ndio maana hamjitambuagi na kubakia mnashabikia habari za CCM tu huku kibanda Chenu kikiungua kwa migogoro tu . Sasa Makonda ndio dawa yenu maana mtaendelea kuicheza ngoma yake mpaka mama Samia anapoapishwa kwa muhula wa pili kuongoza Taifa letu.
Nyie Endeleeni kukatika tu.
Mbona mapema sana kuanza kupaniki.kwa Makonda lazima mtapike damu .akiongea tu lazima kamati kuu nzima ya CHADEMA ipoteane.makonda mmoja ni sawa na CHADEMA nzima na vyama vyote vya upinzani hapa nchini na bado hamumuwezi.Mawazo ya kipuuzi na makonda wako unazungumza dawa? Dawa ya Nani? Mh LUKUVI aliondoa huu Upumbavu aliokuja nao makonda mkamtoa. Leo unakata miono unazungumza migogoro ya ardhi uoni msio na Akili ya kufikili ndiyo mnaona anafanya Jambo la maana kumbe Ni kurudia Upumbavu ule ule mliozoea kuufanya
Chadema kaishindwa magufuri na huyo makonda wake mpaka kwenda kutaka kumuua lisu. Itakuwa huyo upuuzi unaongea wewe.Mbona mapema sana kuanza kupaniki.kwa Makonda lazima mtapike damu .akiongea tu lazima kamati kuu nzima ya CHADEMA ipoteane.makonda mmoja ni sawa na CHADEMA nzima na vyama vyote vya upinzani hapa nchini na bado hamumuwezi.