NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Kazi imeanza!Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM , Paulo Makonda , ametoa muda kama ule iliyopewa TANESCO wa miezi 6 kwa Kassim Majaliwa , ili ahakikishe migogoro ya Ardhi inamalizika Tanzania .
Bado haijajulikana Mamlaka hasa ya Katibu huyo, wala sababu za kumuandama Waziri Mkuu badala ya Waziiri wa Ardhi .
Bali tunaona huko aendako atampa muda pia Dr Hangaya ili kuhakikisha mafuta yanashuka bei, ngoja tusubiri
View attachment 2800984
The genie has been let out of the bottle. Let them struggle to put it back lest it destroys everything and everyone.CCM took a major risk with a loose cannon like him!
The PM doesn’t report to him. So who is he to be running his mouth issuing ultimatums to people he has no authority over?
Anatakiwa kuwa anapewa maelekezo na Katibu Mkuu sio kila mtu analopoka lopoka , ndio matokeo yake Kuwa kosea adabu wastaafu.Shida Makonda anapenda ukubwa. Hata wakati ni Mkuu wa Mkoa Dar aliwahi kujikita mwenyekiti wa wakuu wa mikoa yote Tanzania.
Tafsiri yako dhidi ya kauli ya Makonda ina ukosefu wa lishe,
Kwa cheo chako wewe ni miongoni mwa viongozi watatu wakubwa wa nchi, kwa hali yoyote ile hapaswi muhuni yeyote kukukemea hadharani kwa ujanjaunja unaoitwa maagizo.
Awe kajituma au katumwa wewe ng'atuka.
President kila siku mnaonana, vise president pia mnaonana kwanini wasikupe maagizo huko ndani wamtume muhuni?
Ni maamuzi ya vikao au maamuzi yake? Asije kua amepewa majukumu kuwavuruga viongozi watarajiwa na umma ili kumjenga mtu🤣😂Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM , Paulo Makonda , ametoa muda kama ule iliyopewa TANESCO wa miezi 6 kwa Kassim Majaliwa , ili ahakikishe migogoro ya Ardhi inamalizika Tanzania .
Bado haijajulikana Mamlaka hasa ya Katibu huyo, wala sababu za kumuandama Waziri Mkuu badala ya Waziiri wa Ardhi .
Bali tunaona huko aendako atampa muda pia Dr Hangaya ili kuhakikisha mafuta yanashuka bei, ngoja tusubiri
View attachment 2800984
Hakika ujinga wa uzeeni lazima utakufa nao tu,pole sanaMwaka huu tutawachezesha ngoma yetu mpaka mkome. Mtakatika ngoma ya CCM mpaka mpige magoti maana ninyi akili zenu ni kama manyumbu tu ,ndio maana hamjitambuagi na kubakia mnashabikia habari za CCM tu huku kibanda Chenu kikiungua kwa migogoro tu . Sasa Makonda ndio dawa yenu maana mtaendelea kuicheza ngoma yake mpaka mama Samia anapoapishwa kwa muhula wa pili kuongoza Taifa letu.
Nyie Endeleeni kukatika tu.

I woderCCM took a major risk with a loose cannon like him!
The PM doesn’t report to him. So who is he to be running his mouth issuing ultimatums to people he has no authority over?
Once spoken shall be doneCCM took a major risk with a loose cannon like him!
The PM doesn’t report to him. So who is he to be running his mouth issuing ultimatums to people he has no authority over?
Kumekucha😎😎Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM , Paulo Makonda , ametoa muda kama ule iliyopewa TANESCO wa miezi 6 kwa Kassim Majaliwa , ili ahakikishe migogoro ya Ardhi inamalizika Tanzania .
Bado haijajulikana Mamlaka hasa ya Katibu huyo, wala sababu za kumuandama Waziri Mkuu badala ya Waziiri wa Ardhi .
Bali tunaona huko aendako atampa muda pia Dr Hangaya ili kuhakikisha mafuta yanashuka bei, ngoja tusubiri
View attachment 2800984
Au Kikemia tumuite BASHITE PENTOXIDE(BO5),..Bashite Jitu la Mtumba.
Sytem huwa haikosei; na ukiona inaonyesha kama imekosea, ujue ni makusudi. Acheni kuwapa viongozi sifa zenye majina ya ajabuNimeamini chizi haponi anapata ahueni tu
Huyo sio MTU wa mtaani Ni msemaji wa chama Cha ccm ambacho kinasimamia serikali na Waziri mkuu kwenye chama Ni mdogo kwa Mwenzi kwa majibu wa chama Chao maana Ni mjumbe tuKwa hivyo mwenyekiti wa chama ambaye ndio Rais hawezi kuongea na Waziri Mkuu au kumwita Ikulu mpaka aagize watu mitaani waropoke?. Kweli haya ni mageni.
Unabisha bashite sio chizi?Sytem huwa haikosei; na ukiona inaonyesha kama imekosea, ujue ni makusudi. Acheni kuwapa viongozi sifa zenye majina ya ajabu