Kwa Sasa Makonda ndio Rais anaamrisha kila mmoja kuanzia Waziri Mkuu mpaka wastaafu akina Mzee Warioba.
Amesema kwa niaba ya chama acha kupotosha na nidhamu za yoga,
PM ANASIMAMIWA NA CHAMA NA HUYO NI MSEMAJI WA CHAMA
ACHENI VIONGOZI WAWAJIBISHWE ,
Hamjui viongozi Ni watumishi wa wananchi
 
Kwenye chama mjumbe na katibu Nani mwenye cheo kikubwa , au unataka Mfumo wa Cdm uingie ccm
 
Makonda amesema kwa niaba ya chama chake na ndo kazi yake
Acheni upotoshaji
Pengine chama chake kitoke hadharani kikanushe kwamba hakijamtuma
 
Hakuna mtu mwenye akili hata ya kuazima anaweza kuongea km Makonda. Kwanza si kaliba ya Samia. Huyo atakuwa ameteuliwa na artificial chairman. Inaonekana kuna mwenyekiti mwingine nyuma ya pazia mwenyekiti halisi siyo Samia. Hapo ndipo Samia atakapoweka historia ya kuwadharaulisha wanawake kuwa wenyewe hawawezi. Nikikumbuka mchango wa Salma Kikwete leo umekuwa sheria ni wazi JK ndiyo rais wa nchi hii kwa sasa. Hata Makonda aliwahi kuwa sehemu ya familia ya JK, tulimwona akimvalisha viatu Ridhiwani. Na ni Jk aliyemteua Makonda kuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni. Ni bora tu JK agombee tena 2025 asiendelee kumtesa mama wa watu. Mama amtengenezee tu njia kwa kubadili kile kipengele cha katiba. Yule mzee bado ana nguvu na nafikiri ni mdogo kuliko Museveni, tusileteane taharuki zisizo na sababu babu hajatosheka.
 
KWa
Kwani Ardhi si ina Waziri, Deputy, Makamishna, Katibu Mkuu na Wengineo. PM anapokea Taarifa toka huku Kwa hawa Viongozi. Ardhi inamhusu Nini? Anyway, walikosea Kakonda angepewa Ubunge then Waziri WA Ardhi ili atatue hiyo Migogoro.
 
Aiseeee !!!
 
Ifahamike:-
Ktk choice za JPM
# Kabudi alishasepeshwa
# Bashiru Ally alishasepeshwa
# Lukivi alishasepeshwa
# Sasa PM yuko lenzini - si kwa kuwa ni mbaya NO kwa kuwa not a recent choice!
 
Kassimu Majaliwa shikilia hapo hapo waonyeshe makali kidogo, japo sikukubali ila kwa hili we shikilia
 
Kuvimbiana [emoji1787][emoji1787] umenikumbusha ya Kenyatta na makamu wake ruto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…