Waziri mkuu Majaliwa aagiza hospital ya Uhuru mjini Dodoma iwe imekamilika ndani ya siku 15 ili Rais Magufuli aifungue 09/12/2020

Kuna Viyu vya Kuvilazimisha ili vikamilike kwa haraka, ila siyo kwa Hospitali. Waziri Mkuu Majaliwa asianze Kuchanganyikiwa bado mapema tu hivi.
Bora wangeboresha Benjamin,,ile hospital iko vizuri,kila kitu kiko computerised,rushwa imedhibitiwa vilivyo,,,tatizo vifaa,ultrasound moja hospital kama benjamin ni utopolo,,mgonjwa anapanga foleni masaa saba kusubiri apimwe ultrasond..!!🤷🤷🤦
 
Hahaha zilizopo hazina dawa wala vifaa, sasa hiyo itakuwa na tofauti gani?!

Hospitali gani hiyo wewe, umeiona lakini wameezeka mabati baada ya uzinduzi tu yanaanza kuoza yote.
Unaposema zilizopo hazina dawa unamaanisha kwamba hospitali zetu zote hazina huduma?
Au nikuulize wapi uliona hospitali zinajitosheleza 100%
Hao unaowasifia wakati wa CORONA hawakua na hospitali za kutosha, vifaa tiba wala wauguzi usijisahaulishe
 
Ungetuletea hata mifano kadhaa ingependeza, nimepita katika barabara ya kuelekea Airport kule Mwanza, daraja la furahisha, barabara za Dodoma (barabara bira kabisa kuwahi kutokea), majengo ya hospitali za wilaya kadhaa, majengo ya vituo vya afya kadhaa, majengo ya mahakama mpya kadhaa. Sijakutana na hiyo barabara yenye shimo na jengo nililokuta lina ufa ni hospitali moja ya wilaya ambayo kwa maelezo ni kwamba palitokea tetemeko la ardhi ambalo halizuiliki.
Sina shaka ya nilichosema boss.
 
Waziri mkuu ametembelea kwa ghafla hospital ya Uhuru iliyopo Chamwino mkoani Dodoma na hajaridhishwa na hatua iliyofikiwa katika ujenzi wake.

Akiwa amekasirishwa mh. Majaliwa ameuagiza uongozi wa mkoa kuhakikisha ujenzi unakamilika ndani ya siku 15 ili mh. Rais Magufuli aje aifungue siku ya sherehe za Uhuru yaani 09/12/2020.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Hiyo hospitali itakuwa na nyufa nyingi tu.
Zege huchukua siku 21 kupata nguvu inayohitajika(curing period)
Sasa ukitaka nguzo zibebe uzitondani ya siku 15 ili jengo lifunguliwe tunajitakia matatizo.
Utaalam usipithaminiwa katika fani muhimu ya ujenzi tutapata majengo ya serikali yasiyo na viwango na ambayao ni hatari kwa matumizi ya binadamu.
 
Kwani hospitali hii bado ipo kwenye ujenzi wa majengo ama umaliziaji? Miradi mingi inakwama kwenye hatua za umaliziaji kama milango, rangi, vioo n.k. Kama ni hatua hii basi inawezekana kukamilika ndani ya siku 15 kama pesa itatolewa kwa wakati, lakini kama bado ipo kwenye ujenzi wa boma basi ni kauli ya kisiasa.
 
Kwa hiyo iharakishwe kukamilika ili Rais aizindue tarehe 9/December!
Hizo ni akili au matope?
Hospitali inapaswa kujengwa kwa lengo la kutoa huduma kwa wananchi na sio kufikia matamanio ya kuzinduliwa na mtawala ili kumpa sifa.

Serikali itoe pesa, wakandarasi wa uhakika wawepo kazini na wataalamu wapewe nafasi ya kufanya kazi zao pasipo kukimbizwa.
Nimeshangazwa sana na kauli hiyo ... Sioni namna gani kazi iliyobakia inaweza kukamilika ndani ya siku 15. Na sababu ni hiyo ni ya msingi kweli ? Ubora utazingatiwa kweli ? Hapa PM kaongea ya moyoni
 
Kwani hospitali hii bado ipo kwenye ujenzi wa majengo ama umaliziaji? Miradi mingi inakwama kwenye hatua za umaliziaji kama milango, rangi, vioo n.k. Kama ni hatua hii basi inawezekana kukamilika ndani ya siku 15 kama pesa itatolewa kwa wakati, lakini kama bado ipo kwenye ujenzi wa boma basi ni kauli ya kisiasa.
1605949465485.png

Mkuu kwa kuliangalia tu hilo jengo naona mwezi na si chini ya hapo.

-Umeme hauelekei kama umevutwa na kufungwa
-Madirisha sijui kama yote yamefungwa
-Barabara ya kuingiza wagonjwa haielekei kama imetengenezwa(unaona madimbwi?)
-Kwa hali iliyopo sijui kama vyoo vimefungwa
-Mashimo ya choo(septic tank na soak pit) hapo sidhai
-kwa kawaida kuna very delicate fittings kwenye hospitali(hasa kama ICU), hapo sitegemei kama itakuwa tayari.

Nampongeza Waziri Mkuu kutoa mkwara mzito maana bila hivyo hizo kazi hazifanyiki usiku na mchana.
 
Waziri mkuu ametembelea kwa ghafla hospital ya Uhuru iliyopo Chamwino mkoani Dodoma na hajaridhishwa na hatua iliyofikiwa katika ujenzi wake.

Akiwa amekasirishwa mh. Majaliwa ameuagiza uongozi wa mkoa kuhakikisha ujenzi unakamilika ndani ya siku 15 ili mh. Rais Magufuli aje aifungue siku ya sherehe za Uhuru yaani 09/12/2020.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Viongozi wa hovyo kabisa awamu hii.
 
Unaposema zilizopo hazina dawa unamaanisha kwamba hospitali zetu zote hazina huduma?
Au nikuulize wapi uliona hospitali zinajitosheleza 100%
Hao unaowasifia wakati wa CORONA hawakua na hospitali za kutosha, vifaa tiba wala wauguzi usijisahaulishe
Hahaha hospitali zetu hazina huduma. Ni ujinga kutafuta sifa, wafanye haraka afungue ili iweje, hakuna dawa wala vifaa tiba, siasa za kijinga kabisa.

Corona ndio nani, na wamesifiwa wapi na nani?!

Huyo Magufuli na watawala wenzake wali fail kabla hawajazaliwa ndio maana unaona wanadharaulika kwa matendo yao ya kiwenda wazimu kama haya.

Kuna hospitali wanaiita Benjamin Mkapa haina tofauti na kituo cha afya, leo mnajikamamua na sijui uhuru sijui uhuru gani?!
 
Kwahiyo tangu aambiwe kuwa anaweza kufukuzwa uwaziri mkuu wakati wowote ndio kaanza ziara za kushtukiza?
 
Hahaha hospitali zetu hazina huduma. Ni ujinga kutafuta sifa, wafanye haraka afungue ili iweje, hakuna dawa wala vifaa tiba, siasa za kijinga kabisa.

Corona ndio nani, na wamesifiwa wapi na nani?!

Huyo Magufuli na watawala wenzake wali fail kabla hawajazaliwa ndio maana unaona wanadharaulika kwa matendo yao ya kiwenda wazimu kama haya.

Kuna hospitali wanaiita Benjamin Mkapa haina tofauti na kituo cha afya, leo mnajikamamua na sijui uhuru sijui uhuru gani?!

Haki upinzani mna nongwa kha

Haya tuachie hospitali zetu.... wewe ukiugua katibiwe Belgium 😎😎
 
Hahaha hatutaki ujinga huo. Kwani nani aliwaambia tunataka hospitali zisizo na huduma?!
 
Back
Top Bottom