Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Bora wangeboresha Benjamin,,ile hospital iko vizuri,kila kitu kiko computerised,rushwa imedhibitiwa vilivyo,,,tatizo vifaa,ultrasound moja hospital kama benjamin ni utopolo,,mgonjwa anapanga foleni masaa saba kusubiri apimwe ultrasond..!!🤷🤷🤦Kuna Viyu vya Kuvilazimisha ili vikamilike kwa haraka, ila siyo kwa Hospitali. Waziri Mkuu Majaliwa asianze Kuchanganyikiwa bado mapema tu hivi.