Na lengo kubwa la kuwaambia vijana wajiajiri lengo ni kupata mapato na ushuru. Hakuna cha ziada zaidi ya hilo na ndio maana mazingira ya ukusanyaji mapato umeboreshwa ila wafabiashara wadogo mpaka leo hawana mazingira bora ya kufanya biashara.Serikali imeshindwa ku create ajira, uwasumbue wawekezaji, uharibu sekta ya kilimo, sekta ya uvuvi, mfumo mzima wa biashara umeuua halafu utegemee watu wataajiriwa. Lazima uwe na akili za zezeta
Huyu jamaa huwa namkubali sana,Waziri mkuu ambaye pia anapigiwa upatu wa kuwania urais wa JMT ifikapo 2025 amewataka vijana kuacha kuitegemea serikali badala yake wajiajiri wenyewe.
"Ajira ni chache, muhimu tujiajiri wenyewe maana ajira sio tu ya kushika kalamu ofsini bali shughuli unayofanya kujiingizia kipato cha kujilisha na familia yako. Ukiziba pancha ukapata pesa ni ajira, ukibrashi viatu ni ajira, ukikata nywele za watu saloon ni ajira". Amesema majaliwa
sorry man. hapo kwenye boko haram umelisha pumba. kuna sababu kubwa lakin si hiyo uliyoandikaVijana kukosa ajira ni janga na ni ticking time bomb. Boko Haram ilianzishwa na vijana wengi waliokosa ajira. Walikata tamaa na maisha. Hata Arab Spring moja ya sababu zake ilikuwa ni vijana kukosa ajira na kukata tamaa na maisha. Hali itakuwa ngumu sana kama mambo hayatabadilika.
Huyu jamaa huwa namkubali sana,
Ila hii kauli yake ni utoporo mtupu,sasa kuziba pancha kutaweza kunifanya nijenge nyumba?
Nitasomesha mtoto chuo kikuu kwa 1.5Millioni kwa mwaka?nitanunua gari?
Kwanza atuoneshe watoto wake waliomaliza vyuo wamejiajiri kwenye nini?
Ndo mana Mimi siangaliagi habari za viongozi wetu, maana wana kerasorry man. hapo kwenye boko haram umelisha pumba. kuna sababu kubwa lakin si hiyo uliyoandika
Pia mfumo wetu wa elimu sio rafiki kwa ajira binafsiSerikali imeshindwa ku create ajira, uwasumbue wawekezaji, uharibu sekta ya kilimo, sekta ya uvuvi, mfumo mzima wa biashara umeuua halafu utegemee watu wataajiriwa. Lazima uwe na akili za zezeta
Kwa nini hakuzungumza hivi wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa 2020?Waziri mkuu ambaye pia anapigiwa upatu wa kuwania urais wa JMT ifikapo 2025 amewataka vijana kuacha kuitegemea serikali badala yake wajiajiri wenyewe.
"Ajira ni chache, muhimu tujiajiri wenyewe maana ajira sio tu ya kushika kalamu ofsini bali shughuli unayofanya kujiingizia kipato cha kujilisha na familia yako. Ukiziba pancha ukapata pesa ni ajira, ukibrashi viatu ni ajira, ukikata nywele za watu saloon ni ajira". Amesema majaliwa
Nafikiri sasa tuoneshwe ni kwa namna gani mfumo wetu wa elimu haumfanyi mhitimu ajiajiri kwa kulinganisha na mfumo mwingine usiokuwa kwenye nadharia tu.Pia mfumo wetu wa elimu sio rafiki kwa ajira binafsi
Hawezi kuwa Rais, huyu hachaguliki labda kama apitishwe kwa mabavu ya dola kama alivyofanya mwendazakeEti huyu naye apewe ridhaa ya kupeperusha bendera na kuiwakilisha tanzania nje ya nchi...??
Huyu asie mbunifu kwa changamoto ya ajira atawezaje kutuvusha kwenye swala la uchumi wa nchi...??
Kwa Sasa ndiye Rais huyo, kisingizio mtendaji na msimamizi was shughuri za serikali.Kwa nini hakuzungumza hivi wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa 2020?