Waziri Mkuu Majaliwa: Ajira ni chache, vijana mjiajiri

Waziri Mkuu Majaliwa: Ajira ni chache, vijana mjiajiri

Acha siasa za maji taka kiongozi. Nchi gani tajiri isiyoweza kuajiri watu wake?
Mkuu unayaita mavieitee wewe!??
Sisi tunatembelea mavieitee!!!
 
Attachments

  • IMG_20210112_150518.jpg
    IMG_20210112_150518.jpg
    86.3 KB · Views: 8
  • IMG_20210101_160453.jpg
    IMG_20210101_160453.jpg
    73.6 KB · Views: 9
Tena watoto wao hawaajiriwi kwenye kazi ndogo ndogo wanaajiriwa kwenye sekta nyeti zenye mishahara minono ila sisi watoto wa makapuku tunaambiwa tujiajiri. It is not fair
Sure mkuu, wanatutesa sana sisi wa hali ya chini.
Anyway acha tumtumikie Mungu vzr ili na mbinguni tusije kuteseka, ila nikija kumwona magufuli au majaliwa peponi, hakika ntanyosha mkono ili nihoji@
 
Serikali imeshindwa ku create ajira, uwasumbue wawekezaji, uharibu sekta ya kilimo, sekta ya uvuvi, mfumo mzima wa biashara umeuua halafu utegemee watu wataajiriwa. Lazima uwe na akili za zezeta
Ukifungua biashara TRA wanakuja na kodi hata mtaji unapotelea hapo. Halafu wajiajiri kivipi?
Kitu chochote kinachosimama kwenye misingi ya uongo lazima kitaanguka. Tuangalie sana jinsi mambo yanaenda na nini tunachotaka
 
Hebu soma hii kauli ya kipumbavu. Jamaa anaua investments.
Anataka kufungia hospitali kwa kosa gani?
Hospital ikifungwa wangapi watakosa ajira?
Huyu jamaa apimwe tu bichwa.
IMG_20210130_123255.jpg
 
Waziri mkuu ambaye pia anapigiwa upatu wa kuwania urais wa JMT ifikapo 2025 amewataka vijana kuacha kuitegemea serikali badala yake wajiajiri wenyewe.

"Ajira ni chache, muhimu tujiajiri wenyewe maana ajira sio tu ya kushika kalamu ofsini bali shughuli unayofanya kujiingizia kipato cha kujilisha na familia yako. Ukiziba pancha ukapata pesa ni ajira, ukibrashi viatu ni ajira, ukikata nywele za watu saloon ni ajira". Amesema majaliwa
Wameshaanza na majibu yao ya siasa wakati kwenye kampeni walisema watatengeneza ajira milioni 8
 
Kujiajiri ni kuzuri ila serikali inaweka mazingira wezeshi kiasi gani?.

kwa mfano
Ukifungua kampuni una kadirio la kodi kabla hata hujaanza kufanya chochote

1.ushauri
Kungekuwa na 'tax grace' kwa biashara zinazoanza kwa muda fulani

Wajiajiri kuna hata mikopo?
2.Ushauri;kuwe na utaratibu wa kutoa mikopo ya riba ndogo ama bila riba kwa vijana wa umri fulani say 20-30 ili wajiajiri
Utaratibu utengenezwe vijana wasaidiwe

3.kuanzishwe utaratibu tangu mashuleni na vyuoni ikibidi kipindi cha 'kujiajiri' na watoto/vijana waanze mapema...sawa kuna somo la 'entrepreneurship' ila si kwa kozi zote
Elimu ya ujasiriamali na kujitegemea iwekwe kwenye mitaala iwe practical watoto waanze kuona kujiajiri mapema ndo mpango mzima
Na kujiajiri ni kutatua matatizo ya jamii huku unajiingizia kipato..we need to start early

kushauri watu kujiajiri wkt mtu miaka yote yeye kaajiriwa kuna ukakasi.,.
 
Mkuu unayaita mavieitee wewe!??
Sisi tunatembelea mavieitee!!!
Sawa lakini mnapotembelea hayo mavieitee yenu tukumbukeni na sisi vijana sio mnatuvunja mioyo kwa kauli za kutuambia tujiajiri ilihali hamjatutengenezea mazingira wezeshi.
 
Sawa lakini mnapotembelea hayo mavieitee yenu tukumbukeni na sisi vijana sio mnatuvunja mioyo kwa kauli za kutuambia tujiajiri ilihali hamjatutengenezea mazingira wezeshi.
 
Attachments

  • IMG_20210112_150518.jpg
    IMG_20210112_150518.jpg
    86.3 KB · Views: 8
Waziri mkuu ambaye pia anapigiwa upatu wa kuwania urais wa JMT ifikapo 2025 amewataka vijana kuacha kuitegemea serikali badala yake wajiajiri wenyewe.

"Ajira ni chache, muhimu tujiajiri wenyewe maana ajira sio tu ya kushika kalamu ofsini bali shughuli unayofanya kujiingizia kipato cha kujilisha na familia yako. Ukiziba pancha ukapata pesa ni ajira, ukibrashi viatu ni ajira, ukikata nywele za watu saloon ni ajira". Amesema majaliwa

Miaka 7 primary,miaka 4 O level, miaka 2 A level, miaka 3 chuo na nadaiwa na bodi ya mkopo.Unaniambia nijiajiri kubrash viatu?
 
Kwani zile ajira milioni 8 zimeshapata watu zote?
Swali zuri sana. Tatizo la viongozi wetu wa Africa huwa wanataka uongozi bila kujua watawafanyia nini watu wao. Kama kujiajiri ni rahisi kihivyo, mbona akina Jesca hawakujiajiri .....!!
 
Miaka 7 primary,miaka 4 O level, miaka 2 A level, miaka 3 chuo na nadaiwa na bodi ya mkopo.Unaniambia nijiajiri kubrash viatu?
Inasikitisha sana. Kama wasomi wote watajiajiri kubrashi viatu je ambao hawajasoma kabisa watafanya kazi gani?
 
Tumempa ajira atutengenezee ajira asituletee porojo za kujiajiri, aanze yeye kujiajiri awe mfano.
 
Mkuu Tatizo Watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Hilo swala la ajira ni rahisi sana kujiajiri kuliko kusubiri serikali ikuajiri
Hayo Makampuni ya sekta binafsi walikua hawalipi kodi Ndio maana kazi imewashinda
Yaani wapiga dili lazima muumie maana mianya imeziba kabisa
Malaya kama nyie hamkosekaniki
 
Sawa mkuu tutaenda kuziba pancha ma VX yenu.
 
Kumbe pamoja na kuisifia kote serikali na wewe ni muhanga mwenzetu?
Kwanini usingekuja na ID yako ya siku zote maana unayoyazungumza ni kama mzoefu kabisa wa hapa ila ID yako hii ni senior member.

Multiple ID's mnakazi Sana.

Vyovyote vile unavyowaza wewe, ndio hivyo.
 
Waziri mkuu ambaye pia anapigiwa upatu wa kuwania urais wa JMT ifikapo 2025 amewataka vijana kuacha kuitegemea serikali badala yake wajiajiri wenyewe.

"Ajira ni chache, muhimu tujiajiri wenyewe maana ajira sio tu ya kushika kalamu ofsini bali shughuli unayofanya kujiingizia kipato cha kujilisha na familia yako. Ukiziba pancha ukapata pesa ni ajira, ukibrashi viatu ni ajira, ukikata nywele za watu saloon ni ajira". Amesema majaliwa

Awe rais kwa lipi? Haya mambo ya ajabu ajabu ndio yametufikisha! Unadhani urais ni kwa kila mtu? Endeleleeni...
 
Back
Top Bottom