Waziri Mkuu, Majaliwa amuwakilisha Rais Samia kumjulia hali Lowassa

Siku akikata moto huyo shetani itakua sherehe kwa baadhi yetu.
Mungu ni wa ajabu sana, kama anavyomlinda siku zote na kila aina ya matamanio yenu maovu dhidi yake basi anaweza kuendelea kumlinda hadi mtakapoangamia nyie kwanza.......kila binadamu Ana mwisho though, kwahiyo mwisho wake haina maana kuwa ni mapokeo ya dua zenu nyie mashetani!
 

..nakumbuka kampeni ya Magufuli walikuwa wakimtukana Mzee Lowassa na kujiapiza kwa wananchi kuwa Lowassa atakufa kabla ya Magufuli.
 
..nakumbuka kampeni ya Magufuli walikuwa wakimtukana Mzee Lowassa na kujiapiza kwa wananchi kuwa Lowassa atakufa kabla ya Magufuli.
Umeona ee?!!!
Na wengi wameshaondoka tayari!
 
..wanasema kafia Nairobi Hospital.

..kwenye chumba kilekile alichokuwa amelazwa mbaya wake.
Nani hao wanaosema uongo huo?. Usiamini kila kinachosemwa, hata kama ingekuwa ni kweli, enzi za ile minongono kama ni kweli then angekuwa ni ICU ya Nairobi hospital, not on that same same room!, hata kama ni karma, it's not like that!.

Baada ya minongono ile wanywaji wa ile bar nje ya ule ukuta wao pale kijitonyama walisema wanaona pilika pilika mitaa hiyo!.

Kati ya watu wagumu kuongopa ni maaskofu wa kanisa Katoliki, kuna askofu alisema ameupaka upako wa mwisho!. Kuna askofu mwingine wa kanisa la wokovu akasema amemsalisha sala ya toba kabla hajakata kauli, ndio maana mimi nilipoelezwa JPM dissented straight to heaven, ninaamini ni kweli
P
 

..icu ileile.

..wodi ileile.

..kitanda kilekile.

..mashuka, taulu, zilezile alizotumia mwanaharakati aliyejaribu kumuua.

..karma!!
 
Get well soon Mr. Lowassa
Taifa linakuombea
 
Should that be descended straight to heaven or ascended straight to heaven mkuu?
Asante Mkuu, hizi lugha za wenzetu hizi, watu wengine wote wakifa, lazima kwanza wanashukia kuzimu, hata Yesu alishukia kuzimu, siku ya tatu ndio akafufuka katika watu. Hivyo He is the One and Only aliye ascended to heaven.
P
 
Juzi juzi kuna mwanasiasa mmoja kikaza na ni naibu waziri alisikika akisema watu wanatoka ulaya kuja kutibiwa Tanzania!
 
Baba alikua waziri mkuu first born ni mbunge, hao ndo wamenjoy matunda ya nchi hi, sisi wengine tunaishi tu ili mradi.
 

Attachments

  • 9d83cd2f5ddef22c33e0bb636ee68bf7.mp4
    736.4 KB
Iboreshwe kwa namna gani?hata sasa Muhimbili, KCMC,Bugando..hizo ni hospita nzuri tu na anaweza kutibiwa kiongozi yoyote,kiongozi ni mtu kama watu wengine,ila ni swala la kujiaminisha tu na kiburi cha pesa pia
Viongozi wa tz wana ulimbukeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…