ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Mimi namkumbuka mzee Lowasa kwenye 'Anakatwa hakatwi'!?
kweli jk mtoto wa mjini
kweli jk mtoto wa mjini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu amjaaliye apone haraka kwa vile nchi hii wazuri hawafi; na mzee Lowassa alikuwa mtu mzuri na swahiba mkubwa wa Kikwete aliyempisha kiti cha urais mwaka 2005.MAJALIWA AMUWAKILISHA RAIS SAMIA KUMJULIA HALI LOWASSA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwakilisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kumjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Edward Ngoyai Lowassa anayeendelea na matibabu Afrika ya Kusini.
Akizungumza na wanafamilia kwa niaba ya Mheshimiwa Rais Samia, Waziri Mkuu amewasilisha salaam za pole kutoka kwa Mheshimiwa Rais na kusema Mheshimiwa Rais anafuatilia hali ya Mheshimiwa Lowassa kwa ukaribu na anamuombea afya njema.
Waziri Mkuu ametoa salamu hizo leo (Jumatano, Desemba 28, 2022) jijini Johannesburg, Afrika Kusini ambako alienda kumjulia hali Mheshimiwa Lowassa.
Kwa upande wake, Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu, Mama Regina Lowassa amemshukuru Mheshimiwa Rais kwa jinsi ambavyo amekuwa karibu na wanafamilia na namna ambavyo anafuatilia matibabu ya mpendwa wao.
Naye mtoto mkubwa wa Mheshimiwa Lowassa na Mbunge wa Monduli, Bw. Fredrick Lowassa amewashukuru Watanzania kwa maombi yao ya kumtakia afya njema baba yao.
View attachment 2461149
Huo sio ubinadamu, toa pole basi.Mbona mchezaji wa mpira mwanae anapokuwa mchezaji au mwanamziki mwanae anapokuwa mwanamziki hatusikii maneno kama hayo.Baba alikua waziri mkuu first born ni mbunge, hao ndo wamenjoy matunda ya nchi hi, sisi wengine tunaishi tu ili mradi.
Ww ni SHEHATANi vyema wakasema ukweli kuliko kuficha ficha, picha inajionesha wazi mzee yupo wapi?
Lowasa ni kiongozi?Muhimbili iboreshwe hii ya viongozi kutibiwa nje haijakaa sawa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
JPM ALILAZWA HOSPITAL IPI NA ALIFIA WAPI? Nimeuliza tu
NilSo mpaka Muda huu ni 0-0 hamna voice from within
Sio kweli!. Not true!. Kuna kitu kinaitwa utii kwa mamlaka, ni kama utii kwa wazazi, Mama yako akikuambia baba yako ni huyu, unapaswa kumheshimu kama baba, hata kama umefanana copyright na jirani next door!...Jpm alifia Nairobi Kenya.
Ilikuwa wapi mkuu? Mzena?Sio kweli!. Not true!.
P
Haija ingia akilini. Kumbe Muhimbili, Mzena, Mlonganzila, nk ni kwaajili ya makapuku!!!?!!!😠😠😠MAJALIWA AMUWAKILISHA RAIS SAMIA KUMJULIA HALI LOWASSA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwakilisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kumjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Edward Ngoyai Lowassa anayeendelea na matibabu Afrika ya Kusini.
Akizungumza na wanafamilia kwa niaba ya Mheshimiwa Rais Samia, Waziri Mkuu amewasilisha salaam za pole kutoka kwa Mheshimiwa Rais na kusema Mheshimiwa Rais anafuatilia hali ya Mheshimiwa Lowassa kwa ukaribu na anamuombea afya njema.
Waziri Mkuu ametoa salamu hizo leo (Jumatano, Desemba 28, 2022) jijini Johannesburg, Afrika Kusini ambako alienda kumjulia hali Mheshimiwa Lowassa.
Kwa upande wake, Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu, Mama Regina Lowassa amemshukuru Mheshimiwa Rais kwa jinsi ambavyo amekuwa karibu na wanafamilia na namna ambavyo anafuatilia matibabu ya mpendwa wao.
Naye mtoto mkubwa wa Mheshimiwa Lowassa na Mbunge wa Monduli, Bw. Fredrick Lowassa amewashukuru Watanzania kwa maombi yao ya kumtakia afya njema baba yao.
View attachment 2461149
Maswali mengine ni ya uchokozi tuu, tangazo la kifo lililotolewa na CinC lilieleza kila kitu, msiba ulitokea lini, wapi na cause of death.JPM ALILAZWA HOSPITAL IPI NA ALIFIA WAPI? Nimeuliza tu
Sio kweli!. Not true!. Kuna kitu kinaitwa utii kwa mamlaka, ni kama utii kwa wazazi, Mama yako akikuambia baba yako ni huyu, unapaswa kumheshimu kama baba, hata kama umefanana copyright na jirani next door!.
Taarifa za msiba wa JPM zilitangazwa na the highest authority in JMT, the president of URT, kuandika anything contrary na tulichotangaziwa, hata kama ndio ukweli halisi, it's undermining the authority kuwa Watanzania tulidanganywa na the highest authority, hivyo kupunguza imani kwa authority hiyo kuwa inaweza kudanganya which is not good at all!. Kauli ya mamlaka ile ni final and conclusive hata kama ni ya uongo, uongo huo ndio ukweli uliopo hata kama sio ukweli halisi!.
P